Na mimi nahisi hivyo. Maana mimba zake zote hajawahi hakuhudhuria clinic. Uchungu ulikuwa ukimuuma alikuwa anakwenda kujifungua kwenye kizahanati. Huko anasingizia kadi kapoteza.Mwanamke huwenda alishajua kitambo akaanza kutupia dawa kimya kimya na hizo ndizo zimesaidia Mr wake asipate maambukizi.
Hao wanaokutwa positive unasemaje ?HIV is real. Sometimes it is just misterious. Especially kwa mtu kuwa-ve wakati mkewe ni +ve.Siku hizi hawa jamaa waliotunga hii nadharia yao ya uongo ya HIV wanazidi kuumbuka kutokana na kukua kwa technologia .hizo case zipo tangu zamani sema watu walikua hawajui kutokana na ufinyu wa kupata information.
HIV is not real its just a fiction
Kungekuwa na uwezekano wa kucheck cell receptors za mwanaume ingesaidia.But kwa nini kwa wengine zipokee na kwa wengine hapana? Ila kumbuka wakiendelea kukutana ipo siku mwanaume ataweza ambukizwa?
kukutwa positive ni dhana pana inayotumiwa vibaya na hao waasisi wa HIV.labda tu ujiulize ni nini kinachokutwa +ve baada ya kipimo .yani vie vimistari viwili ndio inasemekana ni +ve lakini hakuna mdudu yoyote aliyeonekana kwa chombo chochote na wala kipimo hicho cha PCR hakimpimi mdudu zaidi ya kupima antibodies dhidi ya antigen.sio kila antigen ni HIVHao wanaokutwa positive unasemaje ?HIV is real. Sometimes it is just misterious. Especially kwa mtu kuwa-ve wakati mkewe ni +ve.
Yaani wanakuta mwili unaproduce antibodies angainst HIV virus. Unajua mwili ukiingiliwa na antigens unaanza kuproduce antibodies angainst hao antigens. Kwa hiyo +ve inamaanisha ni reactive. Means damu inafabricate antibodies angainst HIV virus.kukutwa positive ni dhana pana inayotumiwa vibaya na hao waasisi wa HIV.labda tu ujiulize ni nini kinachokutwa +ve baada ya kipimo .yani vie vimistari viwili ndio inasemekana ni +ve lakini hakuna mdudu yoyote aliyeonekana kwa chombo chochote na wala kipimo hicho cha PCR hakimpimi mdudu zaidi ya kupima antibodies dhidi ya antigen.sio kila antigen ni HIV
kwanini umeamua kuthibitisha kwamba kila antibidies fabrication ni antigen wa HIV,mwili unaproduces antibodies kwa antigen wa aina tofauti ndio mana kipimo kinasoma +ve means ndani ya mwili kuna reaction lakini hiyo reaction imesababishwa na nini ndio maana kuna vipimo vya TB,HEPATITIS,MALARIA,PNEOMUNIA NK.jiulize kwanini waja wazito wengi wakienda clinic hukutwa +ve while wakati hawako pregnance waliokua -ve hii ni kwasababu maranyingi miili yao hu-produce antibodies kipindi hiki,na ndio hawa matapeli wengi hupend kupitisha uongo wao kupitia waja wazito.Yaani wanakuta mwili unaproduce antibodies angainst HIV virus. Unajua mwili ukiingiliwa na antigens unaanza kuproduce antibodies angainst hao antigens. Kwa hiyo +ve inamaanisha ni reactive. Means damu inafabricate antibodies angainst HIV virus.
Waulize NIMR au AMREFHivi Tanzania hakuna research units za HIV AIDS. Ili aende wakamfanyie uchunguzi kwa nini kashindwa kupata miaka 10 kaishi na mtu HIV +.
usi-conclude kwamba kila antibodies wanareact against HIVYaani wanakuta mwili unaproduce antibodies angainst HIV virus. Unajua mwili ukiingiliwa na antigens unaanza kuproduce antibodies angainst hao antigens. Kwa hiyo +ve inamaanisha ni reactive. Means damu inafabricate antibodies angainst HIV virus.
Genetics ina play part hapa dada..unazaliwa hvyo,yaan sawa na kuzaliwa kilema ama,kibamia,ama kipof...kirus kikishindwa ingia kwenye cell bas ukimw utauskia kwenye bomba tuNAOMBA KUJUA NI DAWA GANI?/ MBINU GANI YA KUFANYA ILI WHITE BLOOD CELL RECEPTORS ZIWE NA ULEMAVU MZURI NAMI NISIPATE HAYO MARADHI!
Wewe hii theory umeitoa wapi?????kwanini umeamua kuthibitisha kwamba kila antibidies fabrication ni antigen wa HIV,mwili unaproduces antibodies kwa antigen wa aina tofauti ndio mana kipimo kinasoma +ve means ndani ya mwili kuna reaction lakini hiyo reaction imesababishwa na nini ndio maana kuna vipimo vya TB,HEPATITIS,MALARIA,PNEOMUNIA NK.jiulize kwanini waja wazito wengi wakienda clinic hukutwa +ve while wakati hawako pregnance waliokua -ve hii ni kwasababu maranyingi miili yao hu-produce antibodies kipindi hiki,na ndio hawa matapeli wengi hupend kupitisha uongo wao kupitia waja wazito.
Ni elin tuu mkuu,piga shule utaelewa haya mambondiom porojo zao hizi ili ku prove uongo wao wa nadharia ya HIV
Yap na wewe jitahidi kusoma sana ili usidanganywe ovyo kama umetoka nanjilinji jana.
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.
Watoto -ve na wote walinyonya.Inawezekana mwanamke alikua anatumia arv hivyo kufanya virusi kuwa chini muda wote na pia inawezekana mr sio mtu wa kusuguana sana kama walivyo vijana wengi pia inawezekana mr ni naturally immune to ukimwi
Ila swali watoto vipi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto -ve na wote walinyonya.