Mke HIV +,Mme HIV-.wananzengo Hebu tujadili hili.

Mke HIV +,Mme HIV-.wananzengo Hebu tujadili hili.

Mwanamke huwenda alishajua kitambo akaanza kutupia dawa kimya kimya na hizo ndizo zimesaidia Mr wake asipate maambukizi.
Na mimi nahisi hivyo. Maana mimba zake zote hajawahi hakuhudhuria clinic. Uchungu ulikuwa ukimuuma alikuwa anakwenda kujifungua kwenye kizahanati. Huko anasingizia kadi kapoteza.
 
Siku hizi hawa jamaa waliotunga hii nadharia yao ya uongo ya HIV wanazidi kuumbuka kutokana na kukua kwa technologia .hizo case zipo tangu zamani sema watu walikua hawajui kutokana na ufinyu wa kupata information.
HIV is not real its just a fiction
Hao wanaokutwa positive unasemaje ?HIV is real. Sometimes it is just misterious. Especially kwa mtu kuwa-ve wakati mkewe ni +ve.
 
Magic Johnson yule maana basketball bingwa kabisa alizaa na mwanamke mkewe aliyeishi naye kwa miaka 2 .Walupopima Johnson alikuwa positive na mkewe negative . Magic Johnson hadi Leo anatumia ARV na mkewe yapta so chini ya miaka 20 wako nae na ni mzima tu. maelezo hapa ni kuwa kuna 4% ya wanadamu hata akiwa kahaba anatembea na wanaume kumi kwa siku haambukizwi hao wadudu. Au baada ya mmoja kujua ameambukizwa wanafanya ngono salama. Could madamme Sky Eclat possibly give us a favour to explain how these phenomenon happen . Please madamme help us, we laymen if you don't mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But kwa nini kwa wengine zipokee na kwa wengine hapana? Ila kumbuka wakiendelea kukutana ipo siku mwanaume ataweza ambukizwa?
Kungekuwa na uwezekano wa kucheck cell receptors za mwanaume ingesaidia.
 
Kungekuwa na uwezekano wa kucheck cell receptors za mwanaume ingesaidia.
Hivi Tanzania hakuna research units za HIV AIDS. Ili aende wakamfanyie uchunguzi kwa nini kashindwa kupata miaka 10 kaishi na mtu HIV +.
 
Hao wanaokutwa positive unasemaje ?HIV is real. Sometimes it is just misterious. Especially kwa mtu kuwa-ve wakati mkewe ni +ve.
kukutwa positive ni dhana pana inayotumiwa vibaya na hao waasisi wa HIV.labda tu ujiulize ni nini kinachokutwa +ve baada ya kipimo .yani vie vimistari viwili ndio inasemekana ni +ve lakini hakuna mdudu yoyote aliyeonekana kwa chombo chochote na wala kipimo hicho cha PCR hakimpimi mdudu zaidi ya kupima antibodies dhidi ya antigen.sio kila antigen ni HIV
 
Hiyo inajulikana kama discordant couple, sio jambo geni, T cells za huyo baba zinazuia asipate maambukizi. Nina boss wangu anaishi na mke mwenye HIV Zaidi ya miaka 10 na kila akipima yeye yupo negative
 
kukutwa positive ni dhana pana inayotumiwa vibaya na hao waasisi wa HIV.labda tu ujiulize ni nini kinachokutwa +ve baada ya kipimo .yani vie vimistari viwili ndio inasemekana ni +ve lakini hakuna mdudu yoyote aliyeonekana kwa chombo chochote na wala kipimo hicho cha PCR hakimpimi mdudu zaidi ya kupima antibodies dhidi ya antigen.sio kila antigen ni HIV
Yaani wanakuta mwili unaproduce antibodies angainst HIV virus. Unajua mwili ukiingiliwa na antigens unaanza kuproduce antibodies angainst hao antigens. Kwa hiyo +ve inamaanisha ni reactive. Means damu inafabricate antibodies angainst HIV virus.
 
Hizo cases ni nyingi sana, miaka ile ya nyuma ndio tulikua tunawaita "careers" ( japo sidhani kama ilikua sahihi). Haya mambo bhana ni magumu na kuna wale wengine ukianza dawa tu ndio mwisho wa habari yako. inaishia hapo hapo.
 
Yaani wanakuta mwili unaproduce antibodies angainst HIV virus. Unajua mwili ukiingiliwa na antigens unaanza kuproduce antibodies angainst hao antigens. Kwa hiyo +ve inamaanisha ni reactive. Means damu inafabricate antibodies angainst HIV virus.
kwanini umeamua kuthibitisha kwamba kila antibidies fabrication ni antigen wa HIV,mwili unaproduces antibodies kwa antigen wa aina tofauti ndio mana kipimo kinasoma +ve means ndani ya mwili kuna reaction lakini hiyo reaction imesababishwa na nini ndio maana kuna vipimo vya TB,HEPATITIS,MALARIA,PNEOMUNIA NK.jiulize kwanini waja wazito wengi wakienda clinic hukutwa +ve while wakati hawako pregnance waliokua -ve hii ni kwasababu maranyingi miili yao hu-produce antibodies kipindi hiki,na ndio hawa matapeli wengi hupend kupitisha uongo wao kupitia waja wazito.
 
usi-conclude kwamba kila antibodies wanareact against HIV
 
NAOMBA KUJUA NI DAWA GANI?/ MBINU GANI YA KUFANYA ILI WHITE BLOOD CELL RECEPTORS ZIWE NA ULEMAVU MZURI NAMI NISIPATE HAYO MARADHI!
Genetics ina play part hapa dada..unazaliwa hvyo,yaan sawa na kuzaliwa kilema ama,kibamia,ama kipof...kirus kikishindwa ingia kwenye cell bas ukimw utauskia kwenye bomba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini umeamua kuthibitisha kwamba kila antibidies fabrication ni antigen wa HIV,mwili unaproduces antibodies kwa antigen wa aina tofauti ndio mana kipimo kinasoma +ve means ndani ya mwili kuna reaction lakini hiyo reaction imesababishwa na nini ndio maana kuna vipimo vya TB,HEPATITIS,MALARIA,PNEOMUNIA NK.jiulize kwanini waja wazito wengi wakienda clinic hukutwa +ve while wakati hawako pregnance waliokua -ve hii ni kwasababu maranyingi miili yao hu-produce antibodies kipindi hiki,na ndio hawa matapeli wengi hupend kupitisha uongo wao kupitia waja wazito.
Wewe hii theory umeitoa wapi?????
 
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.

Inawezekana mwanamke alikua anatumia arv hivyo kufanya virusi kuwa chini muda wote na pia inawezekana mr sio mtu wa kusuguana sana kama walivyo vijana wengi pia inawezekana mr ni naturally immune to ukimwi
Ila swali watoto vipi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mwanamke alikua anatumia arv hivyo kufanya virusi kuwa chini muda wote na pia inawezekana mr sio mtu wa kusuguana sana kama walivyo vijana wengi pia inawezekana mr ni naturally immune to ukimwi
Ila swali watoto vipi????

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto -ve na wote walinyonya.
 
Alipata before,Maana huwa anakataa kwenda clinic mimba zake zote. Mimba ya kwanza mme wake alimpima vikachora vimstari viwili enzi zile za determine. Mme akapuuzia.
 
Back
Top Bottom