Mke HIV positive anahitajika

Mke HIV positive anahitajika

chaguo

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
24
Reaction score
6
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu.
*Sifa zangu ni..
1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi.
2. Mrefu wa wastani
3. Rangi maji ya kunde.
4. Umri miaka 29.
5. Elimu chuo kikuu.


*Mwanamke/Mke ninaye-muhitaji
1. Mrefu wastani/umbo la wastani
2. Awe mtafutaji
3. Umri 20-31
4. Asiwe na mtoto
5. Awe mwelewa na mwerevu.
6. Mcha Mungu
7. Elimu form 4 na kuendelea
Karibu P.M kwa mwenye utayari na uhitaji wa mume tuanze maisha yetu mapya.
 
Unaweza ukawa na miaka 20 tu ukagongwa na gari kisha ukafa, Kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha mkuu, kikubwa ni kuzingatia tu masharti, Nilizaliwa na virusi vya UKIMWI miaka 25 iliyopita na mpaka sasa maisha yanasonga, Mtoa mada Mungu akupe hitaji lako
neno jema hakuna mwenye kujua kesho yake.Nashukuru.
 
Kila la kheri mkuu na Mungu akupe chaguo lako muishi vizuri!
 
Back
Top Bottom