Mke kachoka kumlisha mume wake

Mke kachoka kumlisha mume wake

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
 
Muulíze kufa kwa stroke na kumuacha aende zake anachaguwa lipi? Hapa hakuna úshauri chaguo ni lake au lako kama ni wewe.
 
Babu zetu waliwafanya kua mama wa nyumbani, ila kizazi hiki kinajifanya kua cha kijuaji wacha wanyooshwe

Amwache aondoke avute beki 3 amsaidie kuangalia watoto huku yeye akiendelea kujitafuta akingangania huyo mwanamke atamuua
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Huyu jamaa bwege kweli....once beaten twice shy
Sasa ndio ajue mwanamke akishapata hela akili yake inawaza jinsi ya kumuondoa mwanaume kwenye maisha yake
 
mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
 
We kama rafiki yake ulimpa ushauri gani?
Ukiwa kwenye mahusiano ni ngumu kupokea ushauri wa kuyavunja mahusiano yako labda likukute tukio au uwe umechoshwa na matukio ya kukumiza ya kujirudia ,na Kuna Hali inatutokea ya kuamini Kila kitu kitakua sawa hii ndio inamaliza wanaume wengi wanaendelea kukumbatia matatizo kwa kuamini yataisha.

Siku jua aliyokuwa anapitia hadi limetokea hili ila ningemshauri awe makini au kumuacha kabisa tangu tukio la kwanza lakini naamini asingenisikiliza ,nimemshauri ampe talaka tu hizo gharma anazoogopa kuzitoa za mtoto zitamcost mara kumi kama atang'ang'ania
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Inabidi tusikie upande wa pili. Unajuaje labda rafiki yako kipindi anazo alikuwa anamnyanyasa wife kiuchumi au kihisia?

Uhuru wa kiuchumi kwa mwanamke ni faida kwa watoto wake, kipindi baba hayupo. Rafiki yako ajipambanie ataacha mjane. Na uzuri yupo vizuri, atajimudu

Sijui midlife crisis kwa kiswahili inaitwaje, lakini atafute mtu wa kati asiyependelea upande wowote awasuluhishe
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Point 3 zingine kwa team kataa ndoa.
 
Kwanza kabisa akubaliane na ilo suala la mwanamke kutaka talaka, kwa sasa hatambiwa atoe matunzo kwa sababu kiuchumi hayupo sawa. Changamoto atakayokutana nayo atatakiwa kuondoka kwenye nyumba yake kumuacha mke na watoto.

Ni bora aondoke tu kwa sababu kwanza mwanamke atabaki na watoto, pili ni faida kwa afya yake ya mwili na akili, tatu itamuepusha na jinai ambayo ipo mbele yake(kuna siku uvumilivu utamshinda atampiga na kumuumiza uyo mwanamke na kupewa kesi).

Muda bado upo, akae pembeni ajitafute akiwa mbali na uyo mwanamke. Nyakati ngumu zitapita.
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Nawaza sana uzee unaninyemelea,sijui itakuwaje!Mungu Mwema najipa matumaini!
 
Back
Top Bottom