Mke kachoka kumlisha mume wake

Mke kachoka kumlisha mume wake

tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji
Itoshe tu kusema jamaa yako ni mpumbavu

Yaani mambo yote aliyofanyiwa na mwanamke bado akamrudisha na kama haitoshi akajimaliza mwishoni tena kwa kumpa mtaji

Mwanaume mjinga lazima ajifunze kwa majuto. Ili liwe fundisho kwa wengine.

Mwanamke akipata pesa ukumbuke hizo sio zako na hazina msaada kwa mume. Msisitizo ni maana inasisitizwa usimfungulie biashara wala kumpa mtaji fungua biashara umwajiri
 
Kila siku wanaume tunakubaliana humu kuwa pesa ya mwanamke ni ya mwanamke

Inakuwaje jamaa anampa mtaji mwanamke badala ya huo mtaji yeye ndio afungue biashara aitunze familia?

Tangu lini mwanamke akawa na jukumu la kuihudumia familia? Huyo rafiki yako ni senge la masenge kmmmk

Mwanaume jipende wewe na jitangulize wewe sikuzote kabla ya mwanamke. Mwanamke leo anaweza kuwa mkeo kesho akakusaliti ila pesa haiwezi kukusaliti
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Dah wanawake,ni viumbe vya ajab sana uspokuwa makini vinakupa magonjwa mengi stress,presha kisukari unakuwa mlevi figo Zina feli unakufa .unaliacha linatanua hapo utakuta limeshapata jamaa mwingine kwenye pub ndomaana Lina taka talaka

Mpetalaka yake..Baki nawanao akingangania muachie pambana hvhvo ukipata ukikosa bhs focus kwenye pesa..minaona
..wanawake wapo kimkakati kutumaliza wanaume ?
 
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single.

Kuna mtani wangu pia ni rafiki yangu (sio sana) anapitia wakati mgumu Sana muda mwingi anakuwa na mawazo Sana hadi namuonea huruma

Ipo hivi ,jamaa mke aliyekuwa nae saiz kazaa nae watoto wa tatu , mwanzoni ndoa yao ilikua fresh alikuwa stable kiuchumi na kajenga kabisa nyumba viwili ,akamfungulia biashara mkewe kwa ajili ya kuongeza kipato nyumban ,tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban ,yeye ni kupendeza tu na mashuhuri huko akaanza na kujiingiza kwenye mikopo ya marejesho na kausha damu.

Akakopa Hela nyingi hajaniamba shingapi ila deni mwanamke akashindwa kulilipa mwisho wa siku kakimbia deni kamuachia bwana ake mwamba akahangaika nalo akamaliza lakini likamuacha hoi Yani ali drope mno japo uchumi wenyew aliokuwa nao ni wa kubadirishia mboga tu.

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi kwasababu kipindi kile ilikua na watoto wawili mwanamke aliondoka na mtoto wa mdogo wa kiume afu nyumban alibaki Binti alikuwa form one Sasa akmwambia arudi mtoto anafanya kazi nyingi anakosa muda wa kusoma mke alijivutavuta mwisho akarudi.

Maisha yakaendelea jamaa maisha ndio kama vile Tena lakini kibishi maisha yakaendelea wakazaa mtoto wa tatu ,Sasa Kuna jamaa alifungua pub akataka pale akae mtu awe anakaanga nyama ili pachangamke ndio akamfata jamaa akmwambie mkewe aje afungue biashara pale (ndio maarufu kwa biashara hile Yani alikuwa na jina kubwa) , mwamba akaanza kuogopa maana akakumbuka Yale ya mwanzo zitaanza dharau mwisho ndoa ivunjike.

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji ,siku zikasonga biashara Imekua mwanamke akawa kama mwanzo saizi kaenda mbali anasema amechoka kumlisha Kila siku yeye mwanaume afu Hela natafuta Mimi ,mbaya zaidi anaetoka dogo wa 2000 ,kuna siku alimfata ampe Hela mwanamke akawa anamtolea maneno machafu mbele za watu jamaa akaona unyonge dhambi akamlamba vibao mwanamke kama alikuwa kama anasubiri hio fursa akmwambia anataka talaka yake.

Nimemwambia mtani wangu achana nae huyu mtu atakuharibia maisha yako jibu lake anasema anaogopa akimpa talaka atwajibika kutoa Hela ya matumiz Kila mwezi na yeye Yuko broke.

Jamaa hajakuwa sawa kiuchumi tangu aporomoke ,na hata saizi hayuko sawa kichwani mawazo mengi amekonda sana, wanaume tunapitia makubwa sana kupitia hii jinsia wakiwa nyumban wanalalamika tunawakandamiza kiuchumi tukiwazesha wakijipata wanaota mbawa ,

Kwenye bibilia imesemwa tuishi nao kwa akili,na kwenye Quran imesemwa tuishi nao kwa wema , wema inajumisha akili na busara nyingi, mtume Muhammad amesema mwanamke ni kama mbavu ukiinyoosha itavunjika na ukiicha itaendelea kupinda ,akili nyingi inahiajika kuishi nao.
Jamaa ni zuzu
 
Inabidi tusikie upande wa pili. Unajuaje labda rafiki yako kipindi anazo alikuwa anamnyanyasa wife kiuchumi au kihisia?

Uhuru wa kiuchumi kwa mwanamke ni faida kwa watoto wake, kipindi baba hayupo. Rafiki yako ajipambanie ataacha mjane. Na uzuri yupo vizuri, atajimudu

Sijui midlife crisis kwa kiswahili inaitwaje, lakini atafute mtu wa kati asiyependelea upande wowote awasuluhishe
wao wawili ndio wanaweza kusuluhisha tofauti zao dada, wa 3 ni shetani. mkishaanza kutoa migogoro yenu nje ya pembe 4 za nyumba yenu, imeisha hiyo. hatujui upande wa pili, ila kama imefikia hapo na mwanamke ndio anaomba TALAKA, amalize tuu asonge mbele mradi asimamie mambo ya msingi, hasa HAKI ya kuwa na WATOTO maana hapo ndio wanawake wanatukabia, mali zinatafutwa
 
Back
Top Bottom