Mke kachoka kumlisha mume wake

tatizo likaanza mke Hela anazopata anazichukulia ndio za kwake Yani alikuwa selfish anatumia anvyotaka yeye akasahau lengo lilikuwa kwa ajili ya kuendeshea maisha ya nyumban

Alivyomaliza deni akmwambia mke wake arudi

Mke alivyosikia hio fursa akafosi bwana ake kampa mtaji
Itoshe tu kusema jamaa yako ni mpumbavu

Yaani mambo yote aliyofanyiwa na mwanamke bado akamrudisha na kama haitoshi akajimaliza mwishoni tena kwa kumpa mtaji

Mwanaume mjinga lazima ajifunze kwa majuto. Ili liwe fundisho kwa wengine.

Mwanamke akipata pesa ukumbuke hizo sio zako na hazina msaada kwa mume. Msisitizo ni maana inasisitizwa usimfungulie biashara wala kumpa mtaji fungua biashara umwajiri
 
Kila siku wanaume tunakubaliana humu kuwa pesa ya mwanamke ni ya mwanamke

Inakuwaje jamaa anampa mtaji mwanamke badala ya huo mtaji yeye ndio afungue biashara aitunze familia?

Tangu lini mwanamke akawa na jukumu la kuihudumia familia? Huyo rafiki yako ni senge la masenge kmmmk

Mwanaume jipende wewe na jitangulize wewe sikuzote kabla ya mwanamke. Mwanamke leo anaweza kuwa mkeo kesho akakusaliti ila pesa haiwezi kukusaliti
 
Dah wanawake,ni viumbe vya ajab sana uspokuwa makini vinakupa magonjwa mengi stress,presha kisukari unakuwa mlevi figo Zina feli unakufa .unaliacha linatanua hapo utakuta limeshapata jamaa mwingine kwenye pub ndomaana Lina taka talaka

Mpetalaka yake..Baki nawanao akingangania muachie pambana hvhvo ukipata ukikosa bhs focus kwenye pesa..minaona
..wanawake wapo kimkakati kutumaliza wanaume ?
 
Jamaa ni zuzu
 
wao wawili ndio wanaweza kusuluhisha tofauti zao dada, wa 3 ni shetani. mkishaanza kutoa migogoro yenu nje ya pembe 4 za nyumba yenu, imeisha hiyo. hatujui upande wa pili, ila kama imefikia hapo na mwanamke ndio anaomba TALAKA, amalize tuu asonge mbele mradi asimamie mambo ya msingi, hasa HAKI ya kuwa na WATOTO maana hapo ndio wanawake wanatukabia, mali zinatafutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…