Mke kumuhadithia mwanaume baki madhaifu ya mume

Mke kumuhadithia mwanaume baki madhaifu ya mume

Hahhahahahha hapo lazima abembelezwe huku kalazwa kifuani na baada ya hapo wanahamia lodge. Halafu jamaa anaanza kumsifia “mtoto mtamu kama wewe huyo fala anaanzaje kukufoke”.
Mtoto mtam kama wewe unakosaje kuzama pm yangu😄! Achana na yule pimbi njoo hapa Wisters Tuinjoy
 
Kwa haraka haraka kuja huku sio km sina hints ni vile pia nataka nisihukumu haraka nipate expisure

Usiwe na negatives ideas tu
Mfano unatarajia kupata exposure gani?
 
Sasa kama kimoko chali ndani ya sekunde asihadithie kwanini?
 
Habari wakuu, natumai mko poa wa afya

Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8

Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi madhaifu yangu anamuhadithia huyo jamaa

Mtaniaamehe mm sio muandishi mzuri naomba hoja na mawazo yenu wa kuu kwenye hili swala

Hii imekaaje???
Apo unakuta wapo kwenye Sita kwa Sita wanashenyentana🤣Tena wanakutukania wazazi wako 🤣pumbafu kabsa handle such small things
 
Umejuaje kama huwa anamsimulia huyo mfanyakazi mwenzake?
Wewe mwenyewe ulimpendea huo umbea wake.
 
Hii ipo sana tu kwa wanawake wapumbavu, mara oh mume wangu ana kidogo kinaishia mashavuni sioni raha ya penzi, mara oh mume wangu hajui mapenzi na upuuzi mwingine anamuelezea danga lake
 
Back
Top Bottom