Mke kwaajili ya staff mwenzangu

Status
Not open for further replies.
Wanakuja
 
Hili ni jukwaa la Love Connect, huyu si wa kwanza kuleta uzi wa namna hii.
Mbona una hasira naye au unamfahamu?

Wewe sio domo zege unafanya nini humu?
Mbona unashindwa kuelewa maana ya Social forums.
 
Hawezi kutongoza huyo rafiki yako?
 
Hapa hakuna penzi unatafuta spea kama spea za magari
 
Kama wewe ni mwanaume basi una tabia za kike.

Kama ni mwanamke endelea na hizo stress zako.
 
Kama wewe ni mwanaume basi una tabia za kike.

Kama ni mwanamke endelea na hizo stress zako.
Na wewe kama ni mwanaume basi una tabia za kishoga...

Na kama ni mwanamke basi endelea kudanga na waume za wanawake wenzio..
 
Hili ni jukwaa la Love Connect, huyu si wa kwanza kuleta uzi wa namna hii.
Mbona una hasira naye au unamfahamu?

Wewe sio domo zege unafanya nini humu?
Mbona unashindwa kuelewa maana ya Social forums.
Mleta mada kanielewa na kunishukuru, wewe nini kinakuwasha?
 
Mbona hasira sana?
Umekula usiku? Haya choma dawa ya mbu ulale imbecile. [emoji28]
Ukishampata huyo kondoo bwege, ndio utajua kwanini dunia ni tambara bovu... unatafuta bwana kwa tiketi ya uwakilishi... mbegelez...
 
Duh! Huu ulevi wangu umenikosesha mume![emoji848]
 
Mkuu hata wanawake wafupi anachukua?
 
Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..

Huoni kuwa kwa kufanya hivyo hata sisi tulioko Nanjilinji huku tunapata nafasi ya kuweza kuwa mke wa huyo jamaa wa Kigamboni? Nadhani hii ni njia nzuri zaidi kuliko ya kujifungia wigo wa kijiografia.
 
Huoni kuwa kwa kufanya hivyo hata sisi tulioko Nanjilinji huku tunapata nafasi ya kuweza kuwa mke wa huyo jamaa wa Kigamboni? Nadhani hii ni njia nzuri zaidi kuliko ya kujifungia wigo wa kijiografia.
Kama umesoma vizuri masharti yake, mke atafutwaye ni lazima awe anaishi Kigamboni... au kasha-edit?

Wewe kaka wewe, unafaa kuwa mke wangu wa pili. Au unaonaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…