Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wapo mkuuDunia hii ya sasa hivi kuna watu bado wanapeleka wake zao toka mjini hadi kijijini kwenda 'kushusha injini'?
Wapo mkuu
Ilikua zamani sahz vitovu tuna discard toilet tu.Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
😂😂😂🙊Naona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele
Ndio maana tunakataa msipeleke wake zenu kuzalia vijijini, halafu vitovu vya watoto wote anavitunza shangazi. Anakaa kutwa nzima akiwaroga na kuwaharibia maishaIlikua zamani sahz vitovu tuna discard toilet tu.
Ila akuna uchawi mbaya kama mtu akurogee kitovu😃😃 utaimba haleluya amina
Wengine hawana lolote
Wanaogopa zile adha za Ujauzito
Mambo ya Kuamshwa Saa 8 za usiku 'Mume wangu nipeleke sheli nataka Harufu ya petrol
Duh mke wangu kwani, Unazaa Bodaboda???
Enewei kama ni kufata Care ya Mama ni heri huyo mama Akaletwa mjini ili kwenda bega kwa bega na mama mjamzito
Sahihi naunga mkono ✔️✔️✔️ wanaoharibu future za watoto ni hawa hawa ndugu tunaowaaminiNdio maana tunakataa msipeleke wake zenu kuzalia vijijini, halafu vitovu vya watoto wote anavitunza shangazi. Anakaa kutwa nzima akiwaroga na kuwaharibia maisha
Mshikaji, kweli hauko huru na ndoa yako, wala hauko huru na maisha yako. Ukikosa furaha, uhuru wa kweli na amani kwenye ndoa yako, wewe utakuwa ni mtumwa wa ndoa na sonona itakusumbua sanaNaona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele
Kwanini hao wananzengo usiwalete mjini? Wewe mbona uliruhusu mama j amlete shangazi yake kuombewa, yeye akaanza kuleta waganga?Sio kweli,
Lengo kumpeleka kijijini kua karibu na wazazi wazoefu wa mambo ya uzazi
Mjini Hapa harakati nyng,
Uanze kunambia niamke nimkande mjamzito, huu Ni mtihani Sana mzee mwenzangu.
Yaani mtu anaiacha hospitali ya Meta eti anaenda kuzalia UmalilaUjumbe umefika