Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Hatimaye imeridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mila labda za kwenu ndio zinaruhusu kitovu kuchukuliwa na mashangazi mkuu. Kitovu kimila ni kitu sensitive sana na ukimpa mtu access ya kuwa nacho katika ulimwengu wa roho, mtu anaweza kumfanya chochote anachokipenda ndio maana kitovu siku sote hukabidhiwa mama wa mtoto. Akikifukia, akiamua kuwapa mbwa wale ni sawa tuNdio maana tunakataa msipeleke wake zenu kuzalia vijijini, halafu vitovu vya watoto wote anavitunza shangazi. Anakaa kutwa nzima akiwaroga na kuwaharibia maisha
Vijiji vya Moshi unavipata wapi pengine?Kijijini inategemea na vijiji vyenyewe kama ni Moshi uko Kilimanjaro aende Tu kwakwel atapata uangalizi mzuri uko
Ha ha ha Mwadada sio kila Kijiji kina huduma mbovu za afya. Nenda kule kwetu Igogwe kuna Igogwe Hospital, halau nenda kule Makete kwa ndugiu zako akina Sugu kuna Ikonda Hospital na Bulongwa Hospital ziko vizuri sana hizo hospitali kiasi kwamba watu wanatoka Muhimbili Hospital wanakimbilia zao Ikonda kutibiwa.Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Unajua kichanga huwa kinachangamoto nyingi sana,hvyo ni vizuri kikawa karibu na watu wazoefu kwa zile siku za mwanzo,pia mzazi anahitaji care ambayo pia inatakiwa kutolewa na watu wazoefu kama mama mkwe
Na hii kazi ya kucare kichanga na mzazi,mama mkwe ataifanya vizuri zaidi akiwa kwenye mazingira yake ya huko kijijini maana kuna dawa za kumuweka vizuri mzazi ambazo zitamsaidia haraka tofauti na za hospitali zilizo expire kama zile za tabora,pia kuna dawa za michango kwa kichanga
Usikatae asili yako p i m b i wewe
Na vijijii vingi vyenye missionary centres lazma ukute vina shule na hospitali nzuri tuHa ha ha Mwadada sio kila Kijiji kina huduma mbovu za afya. Nenda kule kwetu Igogwe kuna Igogwe Hospital, halau nenda kule Makete kwa ndugiu zako akina Sugu kuna Ikonda Hospital na Bulongwa Hospital ziko vizuri sana hizo hospitali kiasi kwamba watu wanatoka Muhimbili Hospital wanakimbilia zao Ikonda kutibiwa.
Hizo missionary hospitals ziko kwenye vijiji vichache sanaNa vijijii vingi vyenye missionary centres lazma ukute vina shule na hospitali nzuri tu
Na siku hizi baadhi ya sehemu hata usafiri hausumbui sana kwa hiyo kuna unafuu.. Cha msingi anaepeleka mkewe kijijini asiwatelekezee, huduma atume
Walitoka huko miaka mingi sanaHivi na nchi nyingine huko duniani wanakuwaga na mambo ya ajabu ajabu kama yetu sisi Ŵatanzania maana maana kwa kweli naona kama wengi wetu hatupo sawa.
Hata mm sipendi mzazi kujifungulia kwenye huduma mbovu za afya. Ulichonikera kuwaita mababu zako mashetwain, khaaVifo vinavyotokea kwa wakati wa kujifungua kwa wakunga wa jadi ni kubwa sana ukilinganisha na vifo hospitalini
Naomba niulize swali..nauliza tu. Wanaume mnapenda mwanamke mkimya?? Yani awe kimya kabisa no kuuliza, no what?? Mnajua expense ya ukimya lakin?? Bibi yangu alipoletewa mke mwenzake ndani hakuwezaga kuishi nae kwa sabbu ya visanga..kilichotokea akahama na watoto wake akaenda mahali pengine..ardhi nyingine ya babu na kulikuwa na nyumba huko hata kama si nzuri kama ile aliyoiacha pale pa mwanzo. Bibi hakua muongeaji yani watoto wake wanasema yeye ni shamba, nyumbani..akikaa hapo ni anaweza kaa masaa mawili hajasema chochote. Labda ile kutuma watoto basi..kilichotokea sasa..akaumwa ugonjwa wa moyo. Alianza na presha mwisho moyo umetanuka..na akapataga ugonjwa wa kuzimia tu..anazirai.Ndugu yangu sijaoa mke ila nimeoa speaker mwanamke anaongea ana mdomo radio ikasome
Wapi nimewaita mababu mashetani?Hata mm sipendi mzazi kujifungulia kwenye huduma mbovu za afya. Ulichonikera kuwaita mababu zako mashetwain, khaa
Bujibuji upo mbeya kakaYaani mtu anaiacha hospitali ya Meta eti anaenda kuzalia Umalila
Niambie kaka mkubwaBujibuji upo mbeya kaka
Mi jirani yako kaka ,nipo kwa mama j hapa[emoji3]Niambie kaka mkubwa
Safi sana mkuu. Tutafutane aisee... msimu huu wa nguniani sio mbaya tukaalikanaMi jirani yako kaka ,nipo kwa mama j hapa[emoji3]
Kama unanisema mimiMjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.