Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Kama ni ishu ya kitovu kuogopa kuchukuliwa Ili kiunganishwe kwenye madhabau za wapumbavu. Baada kukatika chukua kitovu changanya na mkaa au kuni kisha kichome moto kiwe majivu kabisa baada ya majivu changanya majivu hayo na maji kisha yamwage maji kwa kuyatawanya hapo unakuwa umekivurugavuruga kabisa hao wapumbavu awapati chochote hata wawe na utaalamu gani hawawezi. Usikitupe wala kukizika hata ukiwa pekee yako sirini,haya majitu ya hovyo kabisa yanaouwezo kupitia majini na mizimu yenu yatawaonyesha wapi kilipo Ili yakitumie kufunga maisha ya mtoto.
USITUPE, USIZIKE CHOMA MOTO UMEFUNGA MILELE
 
Ni kweli maana ni sehemu tu ambazo wimisionari walikaa lakini unakuta vinahudumia hadi vijayi vya jirani mfano peramiho songea kuna watu wanatoka hospitali ya mkoa kwenda kupata huduma kule maana kunafikika kirahisi tu
True
 
Kama ni ishu ya kitovu kuogopa kuchukuliwa Ili kiunganishwe kwenye madhabau za wapumbavu. Baada kukatika chukua kitovu changanya na mkaa au kuni kisha kichome moto kiwe majivu kabisa baada ya majivu changanya majivu hayo na maji kisha yamwage maji kwa kuyatawanya hapo unakuwa umekivurugavuruga kabisa hao wapumbavu awapati chochote hata wawe na utaalamu gani hawawezi. Usikitupe wala kukizika hata ukiwa pekee yako sirini,haya majitu ya hovyo kabisa yanaouwezo kupitia majini na mizimu yenu yatawaonyesha wapi kilipo Ili yakitumie kufunga maisha ya mtoto.
USITUPE, USIZIKE CHOMA MOTO UMEFUNGA MILELE
Hii ni kiboko yao
 
Sio kweli,
Lengo kumpeleka kijijini kua karibu na wazazi wazoefu wa mambo ya uzazi

Mjini Hapa harakati nyng,
Uanze kunambia niamke nimkande mjamzito, huu Ni mtihani Sana mzee mwenzangu.
Si umlete mtoa hizo huduma mjini
Mimi nshasema watoto wote Dar yaani
 
Kwanza MKE akishajifu gua akaenda kwao mkoani/kijijini likizo ya uzazi mpk apone inatoa fursa ya wewe kuendelea kuchepuka bila changamoto Sana.

Maana tunajua jela ya kimapenzi tunayopitia wanaume MKE akishajifungua

Kuna almost miez 2 Hadi 6 ya kukosa unyumba kutegemea na aina ya alivojifungua.
Mzee una itune tu akili yako
 
Upelekwa kijijini kwa wazazi sababu ya kuwa karibu na watu wenye uzoefu wa kuhudumia mzazi mzazi mama au mama mkwe huwa huru zaidi akiwa kwake kuliko kupishana corridor na mkwe wake mjini.
 
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.

Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.

Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Kwani hivi mashetani yapo?
 
Unajua kichanga huwa kinachangamoto nyingi sana,hvyo ni vizuri kikawa karibu na watu wazoefu kwa zile siku za mwanzo,pia mzazi anahitaji care ambayo pia inatakiwa kutolewa na watu wazoefu kama mama mkwe

Na hii kazi ya kucare kichanga na mzazi,mama mkwe ataifanya vizuri zaidi akiwa kwenye mazingira yake ya huko kijijini maana kuna dawa za kumuweka vizuri mzazi ambazo zitamsaidia haraka tofauti na za hospitali zilizo expire kama zile za tabora,pia kuna dawa za michango kwa kichanga

Usikatae asili yako p i m b i wewe
Hakuna dawa ya kumuweka mzazi vizuri zaidi ya maji ya moto,chakula kizuri na usafi
Tuliozaa tunajua kama uliambiwa hivyo wamekudanganya!
 
Unajua kichanga huwa kinachangamoto nyingi sana,hvyo ni vizuri kikawa karibu na watu wazoefu kwa zile siku za mwanzo,pia mzazi anahitaji care ambayo pia inatakiwa kutolewa na watu wazoefu kama mama mkwe

Na hii kazi ya kucare kichanga na mzazi,mama mkwe ataifanya vizuri zaidi akiwa kwenye mazingira yake ya huko kijijini maana kuna dawa za kumuweka vizuri mzazi ambazo zitamsaidia haraka tofauti na za hospitali zilizo expire kama zile za tabora,pia kuna dawa za michango kwa kichanga

Usikatae asili yako p i m b i wewe
Kwanini mamamkwe asije mjini akawacare mama na mtoto huku?? Kwanza mara nyingi kumpeleka mama aliyejifungua ugenini unamuongezea na msongo wa mawazo maana anakuwa na upweke zaidi ya kichanga chake tuu anazungukwa na ndugu asiowazoea.

Akiwa uwanja wa nyumbani kwa mume wake atlist anakuwa na ile uhuru na amani ya moyo hata atarecover mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.

Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.

Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Uchawi wa kiwango Cha PhD
 
Back
Top Bottom