Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Nini lililokuwa lengo la swali lako la kwanza?
Maana huelewekagi kila siku unaenda kutoa posa.
Anyway kutunzwa na mama mkwe ni sahihi Kwa maana atapata mlo mzuri na atatuliza akili atapata nguvu Tena Sasa wewe kama wewe fanya hivi kuwa naye siku za mwanzo na ajifungue hospitali ya mjini ya huo mkoa ambao mama Ako yupo halafu akitoka aende Kwa mama Yako kulelewa huwezi mpa majukumu mama yake msichana maana ameshaolewa kwenu ni Mali yenu Sasa mlishatoa mahari
 
Mke hawezi kuwa mali. Mke ni mtu. Mke wangu ndugu walimuhudumia hapa hapa kwangu. To yeye/ Evelyn Salt / mama D/ Mama Debora / Miss Natafuta anakuwaje mali ya ukoo wangu kosa mahari niliyotoa?

HAIWEZEKANI!!!!!

Ati wanakuja ndugu zako wanaume wanamwambia mke wetu tupatie hiki tupatie kile

Ndio hapa wanaume mnaishia kusema sina haja ya DNA sababu wanangu wote nafanana nao kumbe na wewe unafanana na ndugu zako

Mzaha mzaha hutumbua usaha - wahenga
 
Wewe ni mke wetu tuna haki na wewe. Hayo mambo hata Wamasai wameacha sasa
 
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.

Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.

Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Inategemea kijiji chenu kiko wapi. Kwa mfano sisi kijiji chetu ndio kijiji ilipo hospitali ya KCMC.
 
Sasa mazingira yako ndio yana justify mazingira yetu wote?
Kwetu ni kijijini na mke wangu ataenda kujifungulia kijijini. Point yangu ni kwamba kijijini kwetu kuna hospitali nzuri kuliko mjini ninakoishi kwa sasa.
Mazingira ya kijijini kwenu pia yana-justify mazingira yetu wote?
 
For every rule, there is an exception. So you always follow the rule, except when there is an exception, in which case you follow a new rule based on that exception. Following this pattern always guarantees that you come to the right decision
 
Bujibuji katika hili nakuunga mkono. Huu ni uchawi aisee tunapaswa kuuacha. Tunawaweka pabaya wake zetu
 
Back
Top Bottom