Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Nina watoto watatu, mambo ya matambiko niliyakataa long time. Yanakufanya uwe zezeta
Wengine hawa hapa
 
Kwanini mamamkwe asije mjini akawacare mama na mtoto huku?? Kwanza mara nyingi kumpeleka mama aliyejifungua ugenini unamuongezea na msongo wa mawazo maana anakuwa na upweke zaidi ya kichanga chake tuu anazungukwa na ndugu asiowazoea.

Akiwa uwanja wa nyumbani kwa mume wake atlist anakuwa na ile uhuru na amani ya moyo hata atarecover mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakuta mjini una chumba kimoja sebule imeigawa


Ataenda zalia kwao alipopazoea kama ukweni hataki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele
Kama hiki ulichoandika ni kweli basi unahitaji msaada mkubwa kifupi upo jela fanya kila uliwezalo kurejesha amani kwenye ndoa yako na kama haiwezekani basi tafuta namna nyingine ya maisha Kwan hali ikiendelea hivyo kuna hatari kubwa mbele yako
 
Naona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele

[emoji23]
 
Swala la kitovu ni changamoto, nafahamu mke na mkwe walivyogombana kwasababu ya kitovu.
 
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.

Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.

Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
😝😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom