Mke/Mchumba anahitajika

Mke/Mchumba anahitajika

Hamna cha bahati nasibu mke mwema anaonekana tuu. Wee ukishakuta mwanamke breki pumbuz huyo kamwe hawezi kuwa mke mwema.
naandika nondo hizo lakini naona kama unawaonea Mkuu kuna ishu ya maumbile makubwa upande wao kama sisi tulivyo na maumbile makubwa na tofauti
 
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.

Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo

Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
Hamna muoaji hapa, huyu ni tapeli kama matapeli wengine tu, maza fanta!
 
Cha kati ni shilling ngapi? Usiongopi kutaja kipato chako mkuu ili uwe huru mimi hapa nilisha wambia mke wangu mpya kipato ili asiwe na matjmaini makubwa nje ya kipato.
We jamàa km Umeoa kweli una Safari fupi na huyo mkeo, mke haambiwi mshahara wa mume hio ni Siri km mwanaume hawa viumbe wana viranga
 
Mimi h
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.

Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo

Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
Utki mke ww
 
Back
Top Bottom