Mke/Mchumba anahitajika

Mke/Mchumba anahitajika

Ushauri wangu kwa wadada huku jf kuweni makini. Wapo wadada nina ushuhuda wao wamedungwa mimba na wanaume wa humu jf na wametelekezwa. Kila mmoja awe makini watu humu kuna watu na viatu .....
Ohoo mambo ndo yalivo kumbe
 
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.

Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo

Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
Wambie kabisa asiwe na mtoto.
 
Nielezeeni jamani maana ya kuwa open- minded.
Nisaidieni mwenzenu nielewe maana yake.
 
Back
Top Bottom