Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nimeelewaKata mapema mpenzi, maana ukikata wakati anakaribia kujifungua itakusumbua, Bima ukikata haianzi hapohapo kupata huduma, unasubir kwa siku kadhaa ambazo ni kuanzia 30 na kuendelea, kwa maelezo zaidi fika ofc za NHIF zilizopo karibu nawe, au tembelea tovuti yao www.nhif.or.tz kwa maelezo zaidi na utapata mawasiliano yao hapo. Waambie nataka kukata bima sababu inaeleweka usiwaambie kwa sababu mke wangu mjamzito. Kata mapema kuepuka usumbufu na kero plus karaha
Kabisa ngependa kujua piaNaomba kuuliza hivi taratibu za kulipa ni kwa pamoja au mtu unaweza kulipa awamu kwa awamu mana naona pesa ni nyingi hasa kwa sisi wa kipato Cha chini

Mimi akiwa mzungu sawaMnaona mfano wa vijana wawajibikaji,wenye upendo,kujali kwa wenza na familia zao?
Mwachiluwi
Poor Brain
Intelligent businessman
Baadae asubuhi nikumbushe nilifanyie kazi jambo lako ili uondoke na sonona.Mimi akiwa mzungu sawa
Itapendeza kabisaBaadae asubuhi nikumbushe nilifanyie kazi jambo lako ili uondoke na sonona.
NHIF ina vifurushi vya aina nyingi ni kama unavyonunua kwenye simu hivyo ni vema kwenda kwenye ofisi za NHIF zilizopo karibu na wewe watakueleweshaWakuu heshima yenu
Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed
Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia namna ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya ambazo ni wazi atazihitaji sana siku za mbeleni
Napokea ushauri...
Halafu kuna baadhi ya kima humu zilikuwa zinasapoti kauli ya yule rc mpumbavu aliyesema aliyekosa 50 akajifungulie nyumbani.Nilikuwa sijaona vizuri, kwahyo kutoka 192,000 mpka 432,000 kweli maisha yanakwenda kasi
Mtoto kutibiwa bure hayo ni maneno ya siasa mkuu..Kujifungua si gharama boss. Baada ya kujifungua mkatie bima mama. Mtoto wako atatibiwa bure hospitali yyte ya serikali mpaka miaka mitano. Nashauri bima ichukue atleast mtoto akiwa na miaka mitatu. Then mama ajikatie bima mwenyewe mtoto atakua beneficiary, kwasasa bima haitokusaidia kwa mwaka mzima.
Hujawahi kua na mtoto wewe, hunielezi chchte na unaishi hapo hapo bongo. Na kama unae basi hufatilii mambo ya nchi yako, ww ni keyboard learner tu. Tembelea hospitali za serikali ujifunze, uone na huduma zinazotolewa. Tunawashinda hata sisi tulio ughaibuni kufahamu vitu. Au upo ughaibuni pia?.Mtoto kutibiwa bure hayo ni maneno ya siasa mkuu..
Aliumwa nini mwanao maralia sio!! Haya subiri litokee zito(japo siombei, mungu amuepushe) ndio utaelewa.Hujawahi kua na mtoto wewe, hunielezi chchte na unaishi hapo hapo bongo. Na kama unae basi hufatilii mambo ya nchi yako, ww ni keyboard learner tu. Tembelea hospitali za serikali ujifunze, uone na huduma zinazotolewa. Tunawashinda hata sisi tulio ughaibuni kufahamu vitu. Au upo ughaibuni pia?.
Eti siasa, seriously?
Mtoto wa umri gani?Aliumwa nini mwanao maralia sio!! Haya subiri litokee zito(japo siombei, mungu amuepushe) ndio utaelewa.
Sasa kama mtoto anatibiwa bure unadhani kwanini watu wanahamasishana bima ya afya.
Nina watoto sio mmoja...
Picha linaanza mmoja wapo kazaliwa pale dodoma Benjamin mkapa, alipata manjano, unadhani alitibiwa bure, kitanda tu pekee ni elfu 50.
Mkuu mtoto aliyezaliwa ana umri gani, atakuwa kavuka mi5!? Yaani kazaliwa hapo hapo hospital, kesho yake akapata manjano.Mtoto wa umri gani?
Wewe wa kwako ume mkatia😂🤣Mnaona mfano wa vijana wawajibikaji,wenye upendo,kujali kwa wenza na familia zao?
Mwachiluwi
Poor Brain
Intelligent businessman
Hatari sana.Naomba kuuliza hivi taratibu za kulipa ni kwa pamoja au mtu unaweza kulipa awamu kwa awamu mana naona pesa ni nyingi hasa kwa sisi wa kipato Cha chini
Unaishi wapi? Kama upo hoi hahe kama mimi mambo yasiwe mengi nenda manispaa ustawi wa jamii kuna bima unalipa 40,000 tu lakini hauruhusiwi kutibiwa kwenye national referral hosp. Na ni bima kwa ajili ya hosp za serikali tu. Hilo ulizingatie. Mimi imeniokoa sana wife toka mwanzo wa ujauzito mpaka alipojifungua tar 19/1 na Hadi leo anaitumia hiyo.Wakuu heshima yenu