Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

Halafu kuna baadhi ya kima humu zilikuwa zinasapoti kauli ya yule rc mpumbavu aliyesema aliyekosa 50 akajifungulie nyumbani.
Eti akisema watu wakate bima, sijyi yule mpumbavu yuko wapi na simkumbuki jina.
Mtu analima, anafamya kibarua cha 5 kwa siku anaweza wapi kuimudu hii laki 4 ya pamoja.

Aje raisi apitishe sheria machawa wote wa kisiasa wahasiwe ama wanyongwe kabisa.
 
Haupo sahihi kwa 100% ila unaandika kwa confidence mno.

Mfano Mtoto wa Dr Gwajima akijifungua mtoto kisha mtoto akaumwa, akampeleka hospitali huyu mtoto anafaa kuingizwa kundi la msamaha?
Yeye gwajima ni nani? Kwann asitibiwe kama mwanangu.
 
Wakuu heshima yenu

Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed

Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia namna ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya ambazo ni wazi atazihitaji sana siku za mbeleni

Napokea ushauri...
Kama unataka kucover ghalama za kujifungua haitakusaidia ni mpaka uwe umechangia miaka miwili.
Ila kama unataka kwa ajili ya mama na mtoto pongezi kwako nenda NHIF
 
Mtoto kutibiwa bure hayo ni maneno ya siasa mkuu..
Mwananyamala hospital mwezi uliopita mtoto wa mpangaji wangu alipata changamoto ya njia ya hewa,tulilipia mwanzo mwisho,tena mtoto ana miezi saba,

Nadhani hakuna huduma bure kwa watoto aisee, tena alilazwa week nzima
 
NHIF ina vifurushi vya aina nyingi ni kama unavyonunua kwenye simu hivyo ni vema kwenda kwenye ofisi za NHIF zilizopo karibu na wewe watakuelewesha
Siyo kweli,vifurushi ni hivyo tu labda kama unataka ufafanuzi zaidi juu ya huduma utakazopata kwenye kifurushi husika. Nawashauri vijana angalieni na kampuni nyingine za bima zina nini like Jubilee, Strategies etc. Msiwe wavivu wa kukaririshwa NHIF.
 
Hujawahi kua na mtoto wewe, hunielezi chchte na unaishi hapo hapo bongo. Na kama unae basi hufatilii mambo ya nchi yako, ww ni keyboard learner tu. Tembelea hospitali za serikali ujifunze, uone na huduma zinazotolewa. Tunawashinda hata sisi tulio ughaibuni kufahamu vitu. Au upo ughaibuni pia?.
Eti siasa, seriously?
acha uongo wewe,mimi mwezi uliopita nilienda na mtoto wa mpangaji wangu pale mwananyamala,alikuwa na tatizo kwenye njia ya hewa,mtoto ana miezi saba na tulilipia kila kitu hadi anatoka, acha uongo wako huo utaratibu nadhani haupo
 
Nilisikia kwa sheria za sasa bima inakuwa active 6 months baada ya kuifungua. Fuatilia ujue details zote. Ila ni move nzuri maana gharama za matibabu bila bima ni mlima.
Ni siku 30 tu,mkuu
 
Yeye gwajima ni nani? Kwann asitibiwe kama mwanangu.
Muongozo wa msamaha wa kuchangia huduma ya matibabu huzingatia ikiwa anayetakiwa kupata hiyo relief hana uwezo wa kiuchumi.

Tofauti kati yako wewe na Gwajima ni kwamba Gwajima ana uwezo wa kiuchumi kukuzidi hivyo hawezi guswa na huu muongozo. Huu utakugusa wewe na mwingine yeyote ambaye hana uwezo kiuchumi. Na ili ukuguse inabidi Afisa Ustawi ajiridhishe, asipojiridhisha akabaini unaweza kuchangia gharama huu muongozo hautakuhusu.

Na muongozo huelekeza nini kitatolewa bila malipo na nini kitachangiwa. Yaani mtoto under 5 anatakiwa kufanyiwa CT Scan peleka Mhimbili uone kama CT Scan itafanywa bure.
 
Muongozo wa msamaha wa kuchangia huduma ya matibabu huzingatia ikiwa anayetakiwa kupata hiyo relief hana uwezo wa kiuchumi.

Kati yako wewe na Gwajima ni kwamba Gwajima ana uwezo wa kiuchumi kukuzidi hivyo hawezi guswa na huu muongozo. Huu utakugusa wewe na mwingine yeyote ambaye hana uwezo kiuchumi. Na ili ukuguse inabidi Afisa Ustawi ajiridhishe, asipojiridhisha akabaini unaweza kuchangia gharama huu muongozo hautakuhusu.

Na muongozo huelekeza nini kitatolewa bila malipo na nini kitachangiwa. Yaani mtoto under 5 anatakiwa kufanyiwa CT Scan peleka Mhimbili uone kama CT Scan itafanywa bure.
Gwajima anakatiwa bima na hela ulizolipa tax,tena anapata matibabu nje ya nchi akitaka. Usijidanganye kujilinganisha na yeye. Pambana na hali yako.
 
Gwajima anakatiwa bima na hela ulizolipa tax,tena anapata matibabu nje ya nchi akitaka. Usijidanganye kujilinganisha na yeye. Pambana na hali yako.
Jitahidi uwe unaelewa comment ya mtu inatokea wapi. Utasoma kwa haraka kisha utatoa conclusion ambayo haukutakiwa kuitoa
 
Jitahidi uwe unaelewa comment ya mtu inatokea wapi. Utasoma kwa haraka kisha utatoa conclusion ambayo haukutakiwa kuitoa
Nilijikita kwa aliyeuliza kwani Gwajima yeye ni nani na kwa nini asitibiwe kama mwanaye.
 
Naomba kuuliza hivi taratibu za kulipa ni kwa pamoja au mtu unaweza kulipa awamu kwa awamu mana naona pesa ni nyingi hasa kwa sisi wa kipato Cha chini
Ukishapata Control Number unalipa yote kwa wakati mmoja halafu unajulishwa muda wa kuanza kuitumia.
 
Kama unataka kucover ghalama za kujifungua haitakusaidia ni mpaka uwe umechangia miaka miwili.
Ila kama unataka kwa ajili ya mama na mtoto pongezi kwako nenda NHIF
Vifurushi walivyotoa sasa hivi hakuna sharti hilo.
 
Mwananyamala hospital mwezi uliopita mtoto wa mpangaji wangu alipata changamoto ya njia ya hewa,tulilipia mwanzo mwisho,tena mtoto ana miezi saba,

Nadhani hakuna huduma bure kwa watoto aisee, tena alilazwa week nzima
sahihi kabisa, hiyo huduma bure ni siasa tu ila kiuhalisia hakuna hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom