Mke mmoja hatoshi

Mke mmoja hatoshi

Se Busca

Member
Joined
Dec 11, 2023
Posts
69
Reaction score
260
Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari.

Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....😷😷😷🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Hahahaha haujakatazwa kuoa idadi unayotaka ni uwezo wako
 
Mwanamke mmoja mama yako mzazi tu..
(Mama mzazi tu ndio huwa mmoja)
 
wake wengi ni msaada kwa afya ya mwanaume.....rotation inakuhakikishia wazi msongo wa mawazo hutaupata
 
Nimetafakari kwa makini "hakika mke mmoja hatoshi " sijui wakristu walikuja wapi na hii slogan ya mke mmoja. Haya sasa kuanzia leo wakristu mhalalishe hizo nyumba ndogo. Enendeni duniani mkazaliane ili dunia ijae, Amen!
 
Yani mfe kwa matatizo yenu wenyewe halafu muwasingizie wanawake kuna uhusiano gani hapo, sasa kama mke mmoja anakupa stress ukiongeza hao wengine je, by the way kinachowazuia kuoa hao wake wengi ni nini ninyi si ndio waamuzi wa mwisho bana
 
Niwaulize watu wa mke mmoja, akiwa hedhi au kajifungua huwa mnajisaidia wapi? Tendo la ndoa ni meza ya bwana, kwa wakati wowote ukiwa na njaa, sasa nauliza mnakula wapi? Unafiki sio uuuungwana!
 
Back
Top Bottom