Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote.

Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria.


Chanzo: EATV
 
Manara ana akili sana. Matumizi ya hela ndio haya...kula mbususu za pisi kali
 
HV wazazinwake kweli nao wanna akili sawasawa unaendaje kumposa mtot kwa manara mtu ndoa tano zote zimemshinda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…