PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mapenzi ya kweli yalikwisha tangu enzi za Mwalimu, siku hizi ni wizi wizi mtupu. Enzi za Mwalimu mtu alikuwa anambusu mpenzi wake shavuni tena wakiwa chumbani. Lakini siku hizi ni wizi wizi mtupu, wanaanzia kitovuni kwenda chini. Usifikiri kila unaemuona na toothpick katoka kula, kuna wengine wanaondoa vipande vya mavusi kwenye meno. Ni wizi wizi mtupu.