Mke mpya wa Mrema afunguka mazito, hajawahi kuolewa

Kuna wakati nawaza sanaaa,upi umuhimu wa mtu kama mrema kuoa kwa umri alionao,ukitazama mkewe wa kwanza hana muda mrefu tangu afariki?
Maana kama mtu wa kumuhudumia kwa wadhifa na pesa alizonazo hakosi,na pia ana watoto wakubwa tu wanaweza kuweka utaratibu mzuri wa kumuhudumia.

Kuna wakati wanaume hiki kichwa cha chini kinaamua upuuzi unaotughalimu sanaa. Nimetazama video namna alivyopata shida kuinuka, still mwanamke kashinda hata kumpa support ya kumnyanyua,tena wapo kanisani,sasa wakiwa chumbani itakuwaje?!

Mungu tujaliwe mwisho mwema wa maisha,tujue namna njema ya kuishi,kuamua na kutenda.
Kuna mahitaji zaidi ambayo mtu wa kawaida hawez kuyatimiza labda mke tuu
 
Kuna wakati nawaza sanaaa,upi umuhimu wa mtu kama mrema kuoa kwa umri alionao,ukitazama mkewe wa kwanza hana muda mrefu tangu afariki?
Maana kama mtu wa kumuhudumia kwa wadhifa na pesa alizonazo hakosi,na pia ana watoto wakubwa tu wanaweza kuweka utaratibu mzuri wa kumuhudumia.

Kuna wakati wanaume hiki kichwa cha chini kinaamua upuuzi unaotughalimu sanaa. Nimetazama video namna alivyopata shida kuinuka, still mwanamke kashinda hata kumpa support ya kumnyanyua,tena wapo kanisani,sasa wakiwa chumbani itakuwaje?!

Mungu tujaliwe mwisho mwema wa maisha,tujue namna njema ya kuishi,kuamua na kutenda.
mkuu, hoja ipo hapo kwenye "kuhudumia" kuna huduma msaidizi wa kazi hawezi kukupa
 
Kuna wakati nawaza sanaaa,upi umuhimu wa mtu kama mrema kuoa kwa umri alionao,ukitazama mkewe wa kwanza hana muda mrefu tangu afariki?
Maana kama mtu wa kumuhudumia kwa wadhifa na pesa alizonazo hakosi,na pia ana watoto wakubwa tu wanaweza kuweka utaratibu mzuri wa kumuhudumia.

Kuna wakati wanaume hiki kichwa cha chini kinaamua upuuzi unaotughalimu sanaa. Nimetazama video namna alivyopata shida kuinuka, still mwanamke kashinda hata kumpa support ya kumnyanyua,tena wapo kanisani,sasa wakiwa chumbani itakuwaje?!

Mungu tujaliwe mwisho mwema wa maisha,tujue namna njema ya kuishi,kuamua na kutenda.
Mzoea vya kunyonga kuchinja haezi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mrema akisharudi kuwa kijana, agombee uraisi 2025

Huu ulikuwa mchepuko wake kitambo tu
 
Watu wameamua kuoana lakini bado waja wanachonga ngenga...
 
Back
Top Bottom