Mke mpya wa Mrema afunguka mazito, hajawahi kuolewa

Mke mpya wa Mrema afunguka mazito, hajawahi kuolewa

Hivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.

Usiseme hivyo hapa duniani mambo mengi yanatokea kama ukishangaa haya unaweza kufanya mengine na wewe wengine wakakushangaa

Ni mambo ya kawaida sana na yapo na yatakuwepo sana tu
 
Kuna mahitaji zaidi ambayo mtu wa kawaida hawez kuyatimiza labda mke tuu

Kweli kabisa
Kwa mfano akiugua mtoto wake wa kike alieko karibu hawezi kumuogesha ila mke anafanya

Hata mimi nitaoa tu nikijaaliwa hata wawili wengine [emoji23]
 
Hivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.
is just a numbers
 
Kweli kabisa
Kwa mfano akiugua mtoto wake wa kike alieko karibu hawezi kumuogesha ila mke anafanya

Hata mimi nitaoa tu nikijaaliwa hata wawili wengine [emoji23]
Kama uwezo wa kuwatunza kwa hali na mali unao ni wewe tu na dini yako
 
Kama uwezo wa kuwatunza kwa hali na mali unao ni wewe tu na dini yako

Maisha hubadilika hatuna mkataba nao
Ila uwezo ninao wa kutosha hela nimezikusanya sana maana zinanipenda na mimi nazipenda
Ukitaka zikupende ziongeze tu ziwe nyingi
Na dini inaniruhusu pia [emoji1431][emoji1431]
 
Hii ndoa inaelekea walikuwa wanajuana kabla na walikuwa wapenzi mpaka kamfungulia mabiashara yote yale
 
Hivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.
Kwanza una umri gani wewe? Kwamba ndiyo mara ya kwanza kusikia Mzee kuoa kijana? Dr. Ng'wandu alioa mtoto mdogo kuliko huyo ulishangaa? Prof. Kapuya alioa binti mdogo wa miaka kama 25 na bado anaishi naye!

Wacha kujifanya mwenyewe hata kwenu wapo wengi wameoa mabinti wadogo!
 
Kumbe huyo mama sio chaawa kiviiiile,mrema nandhani atakuwa anamwaga ndani
 
Anakosea kufunguka hovyohovyo amwachie mungu ashakubali kua mama wawatoto wakubwa ....mrema siomjinga ataki afe Kama iwe imekufa mbwa ....uislam hapo naukubali
 
Inahusiana nn mkuu na comment yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushangaa kumwona mwenzako kama amepotea au amefanya kosa wakati vijana kuolewa na wazee ni kawaida sana.

Kama umeolewa sawa kushangaa kwako ila kama hujaolewa na sisi tunakushangaa kwa sababu mwanamke hana uwezo wa kuchagua mume bali wanaume ndiyo huchagua na kuamua aina ya mke amtakaye!
 
Back
Top Bottom