Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.
Kuna mahitaji zaidi ambayo mtu wa kawaida hawez kuyatimiza labda mke tuu
Na iwe kheri kwaoHope atapata twins kama kaka
is just a numbersHivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.
Kama uwezo wa kuwatunza kwa hali na mali unao ni wewe tu na dini yakoKweli kabisa
Kwa mfano akiugua mtoto wake wa kike alieko karibu hawezi kumuogesha ila mke anafanya
Hata mimi nitaoa tu nikijaaliwa hata wawili wengine [emoji23]
Kama uwezo wa kuwatunza kwa hali na mali unao ni wewe tu na dini yako
Mbona kanisani baada ya kifunga ndoa alishindwa kusimama! Hapo bado chumbaniis just a numbers
sarakasi kama zote Bae.
Hongera sanaMaisha hubadilika hatuna mkataba nao
Ila uwezo ninao wa kutosha hela nimezikusanya sana maana zinanipenda na mimi nazipenda
Ukitaka zikupende ziongeze tu ziwe nyingi
Na dini inaniruhusu pia [emoji1431][emoji1431]
Umewahi kuolewa?
Kwanza una umri gani wewe? Kwamba ndiyo mara ya kwanza kusikia Mzee kuoa kijana? Dr. Ng'wandu alioa mtoto mdogo kuliko huyo ulishangaa? Prof. Kapuya alioa binti mdogo wa miaka kama 25 na bado anaishi naye!Hivi nikuaje binti au mama wa miaka 39 unamvulia ch…pi mzee wa miaka 77?
Ni ili upate mali au ?Huyu mtu wa miaka 77sio baba yake? Mshipa wa aibu imekwisha kwa wasichana dunia .tutafute pesa.
Nakushangaa kumwona mwenzako kama amepotea au amefanya kosa wakati vijana kuolewa na wazee ni kawaida sana.