Mke mtarajiwa kaharibiwa

Sasa umefanya japo kautafiti kujuja huko Ulaya au Zanzibar wanawake wana hilo tatizo analolizungumzia jamaa!? Sijui kama Ulaya na Zanzibar ndio vinara wa anal sex, sina takwimu ... ila kwa hili tatizo analozungumzia matatiz, sidhani kama Ulaya na Zanzibar ni vinara, takwimu zipo. Kama hili tatizo lingehusiana na kugawa (o) kama usemavyo..basi haya maeneo uliyotaja wangekuwa vinara wa huo ugonjwa.
 
Last edited by a moderator:
wanaoliwa nyama hazitoki nje hovyo... huyo either ana haemorrhoids

usmhukumu tu mtu hivihivi, kama mnapendana basi unaweza kumuuliza
 
Hii ni hadithi tu maana mleta nada anadai hajawahi kukutana na Mpenzi wake kimwili halafu baadae anasema walipokutana aligundua kuwa sehemu zake za tigo zilikua zimetoka nyama na sio kama zamani.....! Mmmghhh
 
Njia ya muongo wala sio ndefu!!
 
Jina uumba jila lako matatizo ulitegemea nini katika maisha yako.
Wengine wamekuambia eti anaumwa kama angelikuwa anaumwa angelikuambia. Pili wazungu ndio watumiaji wakuu tundu hilo. Kaka kama sio muumini wa tabia iyo kama mimi nakushauri achana nae hakuna mapenzi hapo. Wanakufa wazazi na tunasahau nini kumsahau rafiki tu!!!?.
 
umeishampata mmasai wako akupe dawa usinyae?
 
Hii ni hadithi tu maana mleta nada anadai hajawahi kukutana na Mpenzi wake kimwili halafu baadae anasema walipokutana aligundua kuwa sehemu zake za tigo zilikua zimetoka nyama na sio kama zamani.....! Mmmghhh
Habarini za jioni wadau

Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na ahadi tele kwakweli.

Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu, cha ajabu ni pale tulipokua tunafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje.

Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile. Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi, bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha.

Nimenyong'onyea kwa kweli na natamani nimuulize lakini nashindwa.

Hebu nishaurini niendelee kuwa nae ama nimuache? nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

Usiwe mvivu wa kusoma ndugu. Kwa muda mrefu haifanani na kutokufanya kabisa
 
Hii ni hadithi tu maana mleta nada anadai hajawahi kukutana na Mpenzi wake kimwili halafu baadae anasema walipokutana aligundua kuwa sehemu zake za tigo zilikua zimetoka nyama na sio kama zamani.....! Mmmghhh

Dah, wewe kweli great thinker kwa maana wengi wetu akiri ilishabaki ktk tundu la ushuzi tu.
 
ddaaaaa kama ni kweli nakuonea huruma sana wewe muulize upate uhakika
 
Usigeneralize mambo mkuu magomjwa mengi nowadays!muulize kwa upole na unyenyekevu "mpenzi kuna tatizo gn?mbn nyuma pamefunuka"
 
Be serious ndugu.

hakuna kitu ambacho huwezi kukiacha, labda kama aliingia kwa huo mchezo kwa kupenda ila kama ni shida lazima ataacha tu,,,labda huko mbele pia aliogopa angeacha alama ambayo ungeiona au mimba ndo maana akaamua kutumia mlango huo, cha msingi kaa nae uongee nae atakueleza sababu zilizomfanya afike huko
 
Mkuu hata mimi yalinikuta kama hayo....ni hivi kuna kabint flan hiv nlikapata nkaweka mambo sawa mpaka akatokea home kwangu....wakat wa kupeana ladha nikahisi kameshawah kuingiliwa nyuma sabab mtoto takotakoo ndugu... nkajisemea moyon ngoja nami nizame kunako tgo ili ni prove..looh kumbe tayar tgo imeshaliwa nami nikala ili kuweza kupata repot kamili cha ajab wala hakushtukaaa... jamaa niligundua tgo inalaza yake tofaut.....sasa nawe inakupasa kuprove nkwel kapitiwa au laa..
 
Itakuwa dengue ya nyuma iyooo

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
pole kaka, jaribu kumshawishi mwemde hospital
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…