Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.