Mke mwaminifu hupata mume asiye muaminifu, na Mume muaminifu hupata mke asiye muaminifu

Mke mwaminifu hupata mume asiye muaminifu, na Mume muaminifu hupata mke asiye muaminifu

Lucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
14,516
Reaction score
50,658
Wakuu nmeshuhudia marafiki zangu wastaarabu wamepata wake wakorofi sana, na marafik wakorofi wamapeta wake wastaarabu, na maranyingi wale wakorofi wanathaminiwa lakin hawatambui thamani ya wenza wao.

Rafiki wa kwanza:

Huyu ni rafik yangu ambae hatambui thamani ya mke wake na pindi anapopata mchepuko mpya huwa anakua hamjali kabisa mke wake hata tukiwa kazn akipigiwa sim anaweza asipokee au akipokea anamfokea sana mke wake, na anampa mikwara mingi kuwa atamuacha, mke wake ni mwanamke mwenye kaz nzuri tu kias kwamba anaweza kuondoka na mtoto wake na kuish bila kumtegemea jamaa, lakin mke anamthamin sana mshkaji na anamvumilia kwa mengi.

Rafiki wa pili:

Huyu anamthamini sana mke wake, lakin mke hamuheshimu mume, rafk yangu huyu ameowa mwanamke asie na kaz(mama wa nyumbani) jamaa anafanya juu chin mke wake asizijue shida ni nn na anamuhudumia kwa kila kitu, kamuwekea had dada wa kaz licha yakua hawana hata mtt mmoja, yupo tayar hata achukue mkopo kwa mtu ili amtimizie mke anacho kihitaji, ila mke hatambui thaman ya jamaa, akipigiwa sim anafokewa Kama mtt lakn mshkaj ni mpole sana, siku nyngne jamaa akitoka asubuhi kwenda kazn na mke anatoka bila taarifa na anarudi usiku sana muda ambao jamaa kasharud nyumban mshkaj ndo anamfungulia mke mlango akimuuliza chochote ugomvi unaamka hapo.

Sijajiingiza sana kwenye mahusiano ila nina ushahidi mwng sana wa matatzo Kama haya, Kuna muda natamani niwe na mke kama wa rafik wa kwanza kwakua rafik huyo hatambui thaman ya mke wake, lakin ndo hivyo ndoa ni fumbo.
 
Pia mwanaume mbaya ndo anaoa mwanamke mzuri...na mwanamke mzuri ataolewa na mwanaume mbaya.. sijui inakuaje hapa mlio oa mje mtuambie hapa
 
Tunarudi palepale kupenda/kupendwa usiko pendeka/pendwa

Life is not fair
Dah tunawekeza muda wetu mwngi sana kwa wasiotupenda mkuu

Sent using Gun Trigger
 
Pia mwanaume mbaya ndo anaoa mwanamke mzuri...na mwanamke mzuri ataolewa na mwanaume mbaya.. sijui inakuaje hapa mlio oa mje mtuambie hapa
Bora sura zikataane lakin mioyo ikubaliane mkuu, Sasa ukute sura zimekataana na mioyo imekataana hiyo ni vita ya dunia

Sent using Gun Trigger
 
Cjui ndo kila shetan na
Mbuyu wake maana dhaaa

stidy
 
Ndiyo utajua kila binaadamu ni mwalimu, Mungu hawezi kukupa wa kufanana nawe maana duniani kutakuwa peponi/ mbinguni kwako Atakupa wa kukutia joto na kumrekebiaha bisha ili awe sawa
 
Back
Top Bottom