Mke mwaminifu hupata mume asiye muaminifu, na Mume muaminifu hupata mke asiye muaminifu

Mke mwaminifu hupata mume asiye muaminifu, na Mume muaminifu hupata mke asiye muaminifu

Wakuu nmeshuhudia marafiki zangu wastaarabu wamepata wake wakorofi sana, na marafik wakorofi wamapeta wake wastaarabu, na maranyingi wale wakorofi wanathaminiwa lakin hawatambui thamani ya wenza wao.

Rafiki wa kwanza:

Huyu ni rafik yangu ambae hatambui thamani ya mke wake na pindi anapopata mchepuko mpya huwa anakua hamjali kabisa mke wake hata tukiwa kazn akipigiwa sim anaweza asipokee au akipokea anamfokea sana mke wake, na anampa mikwara mingi kuwa atamuacha, mke wake ni mwanamke mwenye kaz nzuri tu kias kwamba anaweza kuondoka na mtoto wake na kuish bila kumtegemea jamaa, lakin mke anamthamin sana mshkaji na anamvumilia kwa mengi.

Rafiki wa pili:

Huyu anamthamini sana mke wake, lakin mke hamuheshimu mume, rafk yangu huyu ameowa mwanamke asie na kaz(mama wa nyumbani) jamaa anafanya juu chin mke wake asizijue shida ni nn na anamuhudumia kwa kila kitu, kamuwekea had dada wa kaz licha yakua hawana hata mtt mmoja, yupo tayar hata achukue mkopo kwa mtu ili amtimizie mke anacho kihitaji, ila mke hatambui thaman ya jamaa, akipigiwa sim anafokewa Kama mtt lakn mshkaj ni mpole sana, siku nyngne jamaa akitoka asubuhi kwenda kazn na mke anatoka bila taarifa na anarudi usiku sana muda ambao jamaa kasharud nyumban mshkaj ndo anamfungulia mke mlango akimuuliza chochote ugomvi unaamka hapo.

Sijajiingiza sana kwenye mahusiano ila nina ushahidi mwng sana wa matatzo Kama haya, Kuna muda natamani niwe na mke kama wa rafik wa kwanza kwakua rafik huyo hatambui thaman ya mke wake, lakin ndo hivyo ndoa ni fumbo.

NI KWELI ILA ANGALIA HAPA........NI KIPI ULICHOTANGULIZA KUWA CHAGUO LAKO LA KWANZA? KAMA NI MWANAMKE BASI UTATESEKA SANA KWA KUPENDA NA KAMA NI MAISHA YAKO BASI HAUTATESWA NA MAHUSIANO UTAKONDA NA KUISHA KWA SABABU KUNA KITU UNATAKA KUKIPATA MAISHANI MWAKO....KATIKA HALI KAMA HIYO MAHUSIANO KWAKO NI ZILIPENDWA YANAKUWA
 
mkuu sisi waaminifu tunaandika hapahapa?maana automatically by law of inverse vya kwetu vinaliwaaa.😥
 
Back
Top Bottom