Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
kweli kabisa mungu atubariki tuendelee kuaminiana.
[emoji28][emoji28] unanichokonoa we mwanaume, nimegoma. Vidonda ulivyokuwa unaniumiza havijapona bado unataka kuvifufuakweli kabisa mungu atubariki tuendelee kuaminiana.
Jikaze tu mama![emoji28][emoji28] unanichokonoa we mwanaume, nimegoma. Vidonda ulivyokuwa unaniumiza havijapona bado unataka kuvifufua
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya basi 😆 umtag ili iwaje?
Umeongea nini hapo sasa?! Bado hujatofautisha ulicho taka kumaanisha.Pia mwanaume mbaya ndo anaoa mwanamke mzuri...na mwanamke mzuri ataolewa na mwanaume mbaya.. sijui inakuaje hapa mlio oa mje mtuambie hapa
Aone kabisa kwamba hana mumeAcha roho mbaya basi [emoji38] umtag ili iwaje?