Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #101
💯Na point yangu n fake n fake tuu.
Hata ukiweka bado tabia za umalaya Huwez kufake
💯Na point yangu n fake n fake tuu.
Hata ukiweka bado tabia za umalaya Huwez kufake
Mwenye UPENDOHakuna uhusiano kati mke mwema na Bikra. Mke mwema ni yule mwenye upendo, uvumilivu, mtulivu, msafi, mnyenyekevu, sio mzinzi, mtu atayekuwa na wewe bega kwa bega kwenye shida na raha, anayependa ndugu zako,anayekulea wewe na watoto, anayewezesha kukuwakilisha na kusimamia mambo yako ukiwa haupo. Mambo ya bikra, makalio, midomo ni fantansies tu ambazo hazima maana kwenye real family life.
Haya mambo magumu wewe huwezi kuyadadavua mkuuMke katoka kwa Bwana atakuwaje na bikira? 😂😂😂
Nipo sana mkuu kuna baadhi ya jemba humu nimeshila makalio kabisa zimefula mbaya sanaMkuu vinywaji hii meza uliyotingisha ina vinywaji vya gharama sanaa..!
Hii vita sizan kama utaiweza,hao single mama wanakuja kwa hasira kali sana kushambuliaa huu uzii..
Uko sahihi na nimemjibu kwa kumdafanulia kila point yake. ....Amesema ASIWE MZINZI na tyr hapo hana bikira kashazini kitambo na midume mingine mingi tuHizi ulizotaja ni sifa za mwanamke bikra, Huwez kuwa mwanamke malaya afu ukawa na hizo sifa.
Automatically hana wema tena huyoMwanamke ambaye hana bikra, huo wema anautoa wapi?
Ndio mkui sikupingi. Huwezi kuwa mwema huku ushagawa gawa huko na wanaume lukuki .Moja ya dalili ya mke mwema, ni kujitunza, usafi wa mwili ambao hudhihitishwa kwa bikira.
Hata hivyo wapo wachache sana. Ambao bikira zao zilitolewa na mashetani kwa ulaghai.
Nakubali kabisa mkuu. Bikira haitoki kwa uume dhaofu kama utambi wa kibatariKwa Sisi tuliokutana na Bikra tutakukatalia kabisa.
Bikira haiwezi tolewa na baiskeli. Lazima kitu kigumu kipite ndipo bikra itoke.
Na kwa kukusaidia tuu. Kama huna nguvu za kutosha au tuseme mwanaune goigoi. Mjegeje hauna nguvu, bikira unaweza usiitoe. Ukaishia kunawa tuu.
Haiwezi kukoma mkuu. Kuna wanaume wenzetu ni wakuhurumiwa mnoHii mada haikoma bado?
Sayansi inawachekecha nanyi mnachekecheka mkuu. Kitu hakijawahi ingiliwa inakuwa ya aina yake kwa uzoefu wangu hata akijifungua baada ya muda bado k yake humidity kuwa njema.Bikra utando uke au hymen inaweza toka bila hata mwanamke kuingiliwa , unajua kuwa kuna wanawake hawazaliwi na huo utando au bikra?
UhakikaTunazungumzia bikra ya kutokufanya mapenzi na mwanaume yeyote, Huwez kukuta mwanamke ambaye bikra yake imetolewa na baiskeli akawa mapepe kama aliyetolewa na mwanaume.
SawaHaiwezi kukoma mkuu. Kuna wanaume wenzetu ni wakuhurumiwa mno
Ukiwa bikra, maana yake sio mzinzisio mzinzi
Nakubali kabisa mkuu. Bikira haitoki kwa uume dhaofu kama utambi wa kibatari
Ukweli usio na shakaUkiwa bikra, maana yake sio mzinzi
Ugumu wake uko wapi na unajuaje mimi siwezi kuyadadavua?Haya mambo magumu wewe huwezi kuyadadavua mkuu
Tunaposema Bwana tunamaanisha Mungu na sio bwana ya mr la hasha sasa wewe ulijua anazungumziwa mtu hapo?Ugumu wake uko wapi na unajuaje mimi siwezi kuyadadavua?
Huyo Mungu ni wa kwenye hadithi zenu za kusadikika tu.Tunaposema Bwana tunamaanisha Mungu na sio bwana ya mr la hasha sasa wewe ulijua anazungumziwa mtu hapo?
Bila shaka kesho unawahi misa1 ila humu kutwa kupinga uwepo wa Mungu.Huyo Mungu ni wa kwenye hadithi zenu za kusadikika tu.
Huelewi wapi?
Ukibisha, thibitisha yupo kweli.
K huwa zinaweza kubanwa kwa njia na madawa ya kienyeji mtu akawa kama hajawahi ingiliwa kabisa , ila utando (hymen ) au bikra hauta kuwepoNakubali kabisa mkuu. Bikira haitoki kwa uume dhaofu kama utambi wa kibatari