Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Sijajua Bikira?😃😃
Unavituko Mtani.

Sisi Watibeli hatuoi mwanamke asiye Bikira, hivyo tunajua mwanamke bikira yukoje hata kabla hatujamvua nguo.

Mara nyingi tunawashangaa nyie Jamii zingine mkisema bikira hamna. Wakati Sisi tunajua zipo
Bikra utando uke au hymen inaweza toka bila hata mwanamke kuingiliwa , unajua kuwa kuna wanawake hawazaliwi na huo utando au bikra?
 
Bikra utando uke au hymen inaweza toka bila hata mwanamke kuingiliwa , unajua kuwa kuna wanawake hawazaliwi na huo utando au bikra?

Utando kuondoka au kutozaliwa nao haiondoi ubikira wa mwanamke.

Bikira ni mwanamke ambaye hajawahi kuingiliwa kwenye maumbile yake na mwanaume.
Hiyo ndio maana ya msingi ya Bikira.
 
Hii ni maana nyingine tu lakini kitaalamu bikra ni kale kautando na kakitoka kinatoa vidamu

Hiyo sio kitaalamu. Bikira ni mwanamke yeyote ambaye hajawahi kuingiliwa wala kujiingiza vitu kwenye uke wake.

Ni Sawa useme, mwanamke anayekojoa kojo likaonekana ndiye anafika mshindo(kilele) na asiyemwaga kojo hafiki kileleni. Hayo ni maumbile tuu.
 
Hiyo ni kitaalamu na nimekupa kama mtaalam wa wakina mama na watoto bwashee 😄
 
Hiyo ni kitaalamu na nimekupa kama mtaalam wa wakina mama na watoto bwashee 😄

Kwa hiyo kwa utaalam wako ulifundishwa mwanamke bikra lazima awe na utando?😀😀

Hapa ninaongea kama mtaalam wa Elimu ambayo Sisi ndio tunawapangia nini chakusoma, Sera na mitaala ya elimu.

Unaoambiwa mtaala ubadiishwe unaelewa nini?
Ndio mambo kama haya. Mwanafunzi anapaswa kuelewa kwa kina kile alichofundishwa na asikariri. Kisha akihusisha na mazingira yake.

Wewe hapo kwenye reflection ndio umeshindwa.
Umekariri bikira lazima awe na utando
 
tafsiri yako sio biblia. Mada zako huwa zina walakini sana na huwa unatafuta trend tu mtandaoni. Kama biblia imeruhusu mwanamke mjane au aliyeachika aolewe sembuse binti asiye na bikra? Jamaa yangu naomba uachane na mambo ya kuhoji imani za watu,tafuta mada zingine fikrishi.
Sema mkuu hii imekupiga vibaya mno.

Nipe uhalali wa kuoa mwanamke asiye bikira.

Na kwanini uoe mwanamke asiye bikira na umtolee na mahali?

Pia mada zangu jf zinahitaji watu wenye akili zinazo chaji si za wafusi wa kiboko ya wachawi na wengine.

Mtu kafanya ufuska huko halafu wewe mbiombio unakuja kumtolea mahali kwa kigezo amebatizwa!
Useless
Kabla hujakutana naye alikuwa na bwana, huyo ndiye alimtoa bikira. Hata hivyo bikira huwa zinatoka kwa sababu mbalimbali.
Kwamba hata kwa Bluetooth inatoka.. kisayansi ni kweli kabisa mkuu lkn bado sifa inabaki palepale
 
tafsiri yako sio biblia. Mada zako huwa zina walakini sana na huwa unatafuta trend tu mtandaoni. Kama biblia imeruhusu mwanamke mjane au aliyeachika aolewe sembuse binti asiye na bikra? Jamaa yangu naomba uachane na mambo ya kuhoji imani za watu,tafuta mada zingine fikrishi.
Mkuu mada zangu zinawataka watu wenye akili yakinifu sio wafata mapambio.

Mkuu umekaa na halimashauri ya kuchwa chako mkakubaliana pasina shaka kuwa Mjane umfananishe na mwanamke asiye bikira?

Mwanamke ambae ukimuuliza ghafla hata idadi ya wanaume aliotembea nao haikumbuki maana ni mfululu ?

Mjane huwezi mlinganisha na single maza wala binti asiye bikira mjane alipata hiyo changamoto ni nje ya uwezo wake na hakitarajia wala hakuomba!
 
Mkuu nataka twende taratibu, mtu alikuwa mzinzi amefikisha miaka 20 akaamua kuokoa,kuokoka maana yake akaokolewa,akawa safi,akaacha uzinzi akawa mtu wa Bwana,je huyo nae hataolewa kisa hana bikra ili hali Bwana amemkubali na akawa wa Bwana? shida mnatafsiri vibaya Biblia. Nikifa MkeWangu Asiolewe
Ninyi ndo huwa mnaingizwa kingi na maigizo fake ya mabinti baada ya kudanga wee nakuona umri ummetupa mkono anakuja kwa useless man kama ninyi kwa kigezo cha kuokoka hawa ndo utawakuta anashinda kanisani kwa lengo maalumu ili mnase wajinga sampuli yako.
 
Back
Top Bottom