Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Mwenye UPENDO
=> Mwanamke asiye na bikira anaweza kuwa na upendo kwako kuliko aliyemtoa bikira? Hivi unakuwa umejihakikishia na nini kwamba mimi ndo ananipensa kuliko aliyemtoa bikira?

Awe mvumilivu.
=> Kashindwana na wanaume wangapi huko aliko toka aje akuvumilie wewe mkuu?

Awe msafi
=> Uzinzi/uasherati kiroho ni uchafu heri hata uchafu wa nguo kuliko uchafu huo. Hata kwenye ndoa mwanamke akiwa mzinzi hata wewe mwanaume iwapo mna mtoto mdogo mnaweza hata kumuua kwa uzinzi wenu.

Asiwe Mzinzi
=> Mkuu naona hujui hata unachokitetea umemkuta hana bikira tyr huyo kashazini na mwanaume ambaye si mme wake au basi ndo alipaswa kumuoa huyo kwahiyo wewe ndo utahesabika mzinzi.

Kifupi ulichoandika ni pointless
 
Mkuu vinywaji hii meza uliyotingisha ina vinywaji vya gharama sanaa..!
Hii vita sizan kama utaiweza,hao single mama wanakuja kwa hasira kali sana kushambuliaa huu uzii..
Nipo sana mkuu kuna baadhi ya jemba humu nimeshila makalio kabisa zimefula mbaya sana
 
Hizi ulizotaja ni sifa za mwanamke bikra, Huwez kuwa mwanamke malaya afu ukawa na hizo sifa.
Uko sahihi na nimemjibu kwa kumdafanulia kila point yake. ....Amesema ASIWE MZINZI na tyr hapo hana bikira kashazini kitambo na midume mingine mingi tu
 
Nakubali kabisa mkuu. Bikira haitoki kwa uume dhaofu kama utambi wa kibatari
 
Bikra utando uke au hymen inaweza toka bila hata mwanamke kuingiliwa , unajua kuwa kuna wanawake hawazaliwi na huo utando au bikra?
Sayansi inawachekecha nanyi mnachekecheka mkuu. Kitu hakijawahi ingiliwa inakuwa ya aina yake kwa uzoefu wangu hata akijifungua baada ya muda bado k yake humidity kuwa njema.

Sasa kutana na hizo zingine sasa tunafanya siri tu😂😂🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…