Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #121
Tunachokijadiri hapa ni bikira ogK huwa zinaweza kubanwa kwa njia na madawa ya kienyeji mtu akawa kama hajawahi ingiliwa kabisa , ila utando (hymen ) au bikra hauta kuwepo
Bila shaka kesho unawahi misa1 ila humu kutwa kupinga uwepo wa Mungu.
Njoo huku nilipo nikuthibitishieThibitisha Mungu yupo.
Halafu.
Thibitisha kesho nawahi misa.
Unajiongezea mzigo wa kuthibitisha.
Hapo ndipo akili zako zilipoishia?Njoo huku nilipo nikuthibitishie
Jibu ni ndio. Akikoswa bikira amekoswa sifa za kuwa mwema!Kipimo cha Mke Mwema ni nini?
Je, ni lazima awe na bikra?
Nakuthibitishiaje pasipo kukufanyia maombi mubashara?Hapo ndipo akili zako zilipoishia?
Kufanya maombi nako ni uthibigmyisho juwa Mungu hagupi.Nakuthibitishiaje pasipo kukufanyia maombi mubashara?
Sawa hayupo tuambie kuna nini?Kufanya maombi nako ni uthibigmyisho juwa Mungu hagupi.
Ila wewe huwezi kuelewa hilo.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Kwanza umeelewa? Hayupo kwa nini?Sawa hayupo tuambie kuna nini?
Mwana leo tuna malizia kufurahia sikukuu ya Eid, tafadhali usi supply smokeKwanza umeelewa? Hayupo kwa nini?
Jibu swali nishakukubalia hayupo kwa sababu hayupo. Basi nambie wewe kuna nini sasa kama huyu mungu hayupo?Kwanza umeelewa? Hayupo kwa nini?
I did not supply the smoke.Mwana leo tuna malizia kufurahia sikukuu ya Eid, tafadhali usi supply smoke
Hayupo kwa sababu hayupo is a a tautology.Jibu swali nishakukubalia hayupo kwa sababu hayupo. Basi nambie wewe kuna nini sasa kama huyu mungu hayupo?
Nipe jawabuHayupo kwa sababu hayupo is a a tautology.
Unajuaje hayupo?
Unauliza kuna nini, kuna nini wapi? Wewe haupo?
Jawabu ukiliona utalijua?Nipe jawabu
Cause I'm determined to be me, critique the worshipI did not supply the smoke.
I clear the smoke and mirrors abracadabra act.