Mke mwema hutoka kwa mungu ila mme mwema hutoka benki

Hizi kauli zinapunguza sana vijana wa kiume kuoa na badala yake kujikita busy kwenye one aspect ya kujiimarisha kiuchumi tu-na matokeo yake idadi ya wanawake wasioolewa mtaani inakua kubwa....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
naona mapepo yameshaanza kuwapanda asubuhi asubuhi! kweli MMU kumevamiwa.napitaa sirudi tena na njia hiiiiiiiiiii
 
Umepotea njia mkuu hapa sio mmu kwa walokole hapa ni chichat uwanja wa fujo full kutongozana,karibu ila ishia sebuleni,bedroom zote occupied.
 
Mwanaume ukiwa na pesa utapata mwanamke mzuri unayempenda hata ungekuwa mzuri kiasi gani huna pesa hamna kituu P.i.n.d.a au w.a.s.i r. Wasingekuwa na pesa wangewapata hao warembo?
 
Hizi kauli zinapunguza sana vijana wa kiume kuoa na badala yake kujikita busy kwenye one aspect ya kujiimarisha kiuchumi tu-na matokeo yake idadi ya wanawake wasioolewa mtaani inakua kubwa....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sijua kama kuna mtu anapata mawazo toka kwa ma bachela,zen anaacha kufata maelezo ya mungu kuhusu ndoa
 
Utamu wa Mama Juma muulize Baba Juma, ukimuuliza Hamis atakudanganya.
 
Back
Top Bottom