Mke mwema hutoka kwa mungu ila mme mwema hutoka benki

Mwanasheria anakuombea upate kesi.
Daktari anaomba uugue.
Mwanasiasa anaomba ukose maendeleo toka kwa kiongozi aliyepo.
Ni mwizi tu ndiye anakuombea ufanikiwe.
 
baba katoka kanisani kufika nyumbani;akamnyanyua mkewe;mke akamuuliza baba nanii;leo umejifunza staili mpya;baba akasema mch.katufundisha tunyanyue matatizo yetu ; ili Mungu ayaone ndo mana nimekunyanyua juu ;hapakutosha hapo
 
Ha ha haaaa dah, umenichekesha mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…