Mke mwema upo wapi?

Mke mwema upo wapi?

Wema wapo hata mikoani ila umesema dar, au pwani ndo tushakosa fursa. Any way kila lakheri Mkuu Mungu akuonekanie
Asante sana mkuu,
Japo jina lako linaonesha kama vile na mm nakosa fursa ya kupata ninachotafuta huku nakiona,
 
Mkuu ungeongezea mkazo, km kigezo kikubwa awe Ameachika si chini ya mara tano, yaan wale waliokubuhi kwenye mapenzi, huyo atatulia blv me..
Hahaha unaomba kuaminiwa kwa upuuzi
 
changamkia fursa ila muulize ataweza kukugaramia mtaji upo ATM inasoma anajua kutombana
Daah, kweli mtu mpumbavu utamjua kwa maneno yake.

Na dhahili kuwa akili yako imekaa kingono ngono hadi imepitiliza toka kichwani hadi kwenye kibodi.
 
Yaani wale wadada wakiweka tu uzi , unakutana na reply kama mia moja za kuwahi nafasi, nahisi wao wenyewe huwa wanachanganyikiwa, lakini sisi wanaume ukimpata mdada ujue kweli amekuelewa,
tatizo wanaume wengi wanaotafuta wanawake mitandaoni either sio wa kweli na hawako seriuos they just wanna have fun kuonana wadada wanahangaika nao, au kama kweli yuko serious basi anakuwa wa ajabu khaa ukikutana nae unaweza zima simu ukimbie
 
we baada upande jukwaa la kanisani kumtafuta mke mwema unapanda jukwaa la love connect kumtafuta mke mwema !! yaani hujui unachotaka
 
we baada upande jukwaa la kanisani kumtafuta mke mwema unapanda jukwaa la love connect kumtafuta mke mwema !! yaani hujui unachotaka
Ila umenena mkuu, ni kushauriana ndio maana tupo humu,
Thanks !
 
Back
Top Bottom