Mke mwenye gubu utamjua tu asubuhi mkiamka

Huko ni kupatwa kwa mume, kama ni jumamosi nadhani ningechukua wallet yangu nawasha gari narudi jumapili jioni kujiandaa kwenda kazini.
 
vyanzo vingi vya vurugu ndani talaka ugomv ukichunguza kwa umakini utakuta chanzo ni mwanamke tuu
 
Mwenye gubu ni aliyeanza kuongea. ukienda kimyakimya je?

Ghafla twende mazoezi mwee!e! Unatakiwa umuandae week nzima mtoto wa kike sharti ajipodoe kabla ya kuvaa t/ suit.

Hamkawii kusema huyu dume jike! Wanawake mpoooo!

Hawezi kwenda sambamba na dume. Mtengee siku zake maalumu za kuzoezika, na gari imfuate kwa nyuma,ikiwa na juice na pop con kiasi au bajaji, km huna baiskeli.

Ana umbo tofauti na wewe. Haya sasa km ana tumbo la bleeding?
Una kimbilia hukumu tuu! Siyo gubu?

Kuwa mpole, sema kwa upole taatibu ikimsugua mgongoni
 
Huyo kweli Ana GUBU, hakosi neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kwkwkw hahahah!
 
Hapo ni kofi moja tu azinduke kidogo akili
Akiuliza tena kwa hiyo kofi moja unampa lingine chap then atajiandaa mwenyewe muende jogging👊
 
Hhahahahha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana leo sio kwa gubu iloo angekuwa faran kasha kutia mbata moja matata stakig kbsa kuchezea hyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…