MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Huko ni kupatwa kwa mume, kama ni jumamosi nadhani ningechukua wallet yangu nawasha gari narudi jumapili jioni kujiandaa kwenda kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeaharisha ile posa aisei..!Huyo ni mie kabisa......lol
No woman,no cry-Bob MarleyHatariiii hapondoutajua kuwa no wife no stress
[emoji23] [emoji23]Kata makofi.
Huyo kweli Ana GUBU, hakosi nenoJamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?
MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?
MUME:Jamani mi sijasema hilo
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe