Mke mwenye sifa hizi ananifaa

Mke mwenye sifa hizi ananifaa

zawadiwa

Member
Joined
Oct 20, 2020
Posts
5
Reaction score
3
Natafuta mke mwenye sifa hizi:
1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele
2.elimu kwanzia form 4
3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho
4.urefu 6ft au 5.5ft
5.rangi siokipaumbele
6. mwili wa wastani
7.kazi sio kigezo
8.Kabila sio kigezo
9.Usiwe na mtoto

Mimi mwenyewe:
Mkristo/mlokole
Elimu shahada ya uzamili
Umri 35
Urefu 6ft
Mwili mwembamba
Kazi nimejiajiri
Kabila kanda kati kwa Lissu
Sina mtoto

Nakuomba ukiwa umekidhi vigezo na kweli una nia ya dhati basi njoo pm tuyajenge na kama unajijua wewe ni mpenda anasa kaa mbali nami nakwa wale wakritso wa jumapili tu naomba kaa mbali nami hapa nahitaji mkritso wa wakweli na anaejuwa thamani ya kristo ndani yake.
 
Hutu tujamaa twa hivi tunakuwaga tumeshamaliza starehe weeee afu tunakuja na mkwala kusaka mke.
 
hapana mkuu
Hutu tujamaa twa hivi tunakuwaga tumeshamaliza starehe weeee afu tunakuja na mkwala kusaka mke.
unanionea si kila mtu kapita huko kwanza wengine huenda tulikuwa tunahangaika na maisha kwanza
 
hapana mkuu

unanionea si kila mtu kapita huko kwanza wengine huenda tulikuwa tunahangaika na maisha kwanza
Okay Mkuu. Kila la Heri.

Ila sijui why naona kama utarudi na sredi flani kali Sana ya kutufokea huku unapiga nyagi dry?

Ama nikuache kwanza?
 
Vigezo vyote nnavyo kasoro kwenye umri.kidogo nimepanda.BTW kila LA heri
 
Kusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
 
Kusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
Hiyo sentensi ya mwisho napigia mstari
 
s
Kusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
si kila anaekuja hapa ni akili za guajima ahsante kwa mawazo yako finyu
 
Kusali kwako kanisani hujaona mpka uje huku kwa wa mataifa? Nyie ndiyo mnaochezea watoto wa watu then mnawatelekeza , na lazima utakuwa mlokole type ya Gwajima.
acha kuhukumu, boss. kama hajaona type yake kanisani, kama ktk makanisa yale madogo na ukutue vijana ni wachache. Muache bro, asake jiko humu
 
Kila la kheri mpendwa,Bwana akupe haja ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom