DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji38]Tulishawaambia, kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro. Hamuelewi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]Tulishawaambia, kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro. Hamuelewi tu?
USHAUR wa busara Sana huu[emoji106]Iki unachokiongea mkeo pia anasoma ,hivi unahisi anajisikiaje ndo upendo umeisha kiasi icho??
Aisee single mamaz ifike pahala tujue kuwa ndoa kwetu si kipaumbele tena na ukibahatika basi ijue na kuitambua mipaka yako na baba mtoto wako ili usimkwaze uyo alie kusitiri na kuhatarisha ndoa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wanamwaga sumu mtaaniKuna muda hizi habari na comments zinafanya dada zetu huku walio wenye watoto wakose Wanaume wakuwaoa
Mkuu,Sijawahi kuacha kumhudumia mtoto,ila baada ya hali ya uchumi kuyumba nikatoa wazo kwakuwa baba yake yupo na uwezo anao unaonaje ukaongea na dada yake mzazi mwenzako aongee na kaka yake aanze kumhudumia mwanaye,Mke wangu akakataa kufanya hivyo,hata baada ya kukataa sikusitisha huduma kwa mtoto aliendelea kupata hichohicho kidogo kama wanavyopata nduguze hawa wawili,kilicholeta mtafaruku ni hiki,alishakataa kumtafuta wifi yake ili amwambie kaka yake kuhusu hili suala la kumsaidia mwanaye halafu yeye akaanza kumtafuta mhusika kinyemela pasipo kunishirikisha mimi,nikuulize wewe kwanini alikataa halafu baadaye akaanza kumtafuta kinyemela pasipo kunishirikisha mimi?
Jamaa kazingua mnoEti mkeo anawasiliana na mzazi mwenzie wewe solution ni kutumia condom, Acha wivu wa kifala unadhalilisha wanaume wenzio
Unamroga anarudi milembe mazimaAkitoka milembe kapona?
Inakuwaje??
Wacha inivuke nguo wewe shida yako nini?Tatizo umepanic sana, hii inapelekea kuongea vitu ambavyo vinaleta ukakasi na kupelekea kukuvua nguo uonekane km single mother, maana single mothers kwa makasiriko hawajambo.
Huyo angalau anaweza kuwa wa mume mmoja kwakuwa hana mafungamano ya ki-damu ya watu aliotoa mimba zao.Kama sio single mama ila alishatoa mimba tatu za wanaume watatu tofauti,au hajawahi kushika mimba ila keshatembea na wanaume zaidi ya kumi je huyo ni mke wa mume mmoja au wengi?
Yes rafiki yangu, mambo yakienda mrama yanafika hata zaidi ya hapo..!!Duh!...kazi kweli kweli...hivi ni rahisi kwa wanandoa kufika hatua hii ?
Carleen Beesmom Heaven Sent
Wewe unajua makubaliano yao kabla au unaropoka tu maelezo marefu yasiyo na maana.Jabakeke kwanza pole mkuu Kwa changamoto.
Ushauri mwingi humu nilio uona unatoka Kwa wavulana,unajua wavulana Wana Tabia ya kutishana tishana Sana,na kibaya Zaidi wanataka na kuwatisha wenzao
Wanaume huwa hawatishwi na matatizo ya wanandoa Fulani ambao kisa Tu eti masingle Maza Fulani wakiharibu basi masingle Maza wote ndio wabebeshwe msalaba? Hapana hiyo sio Sawa hata kidogo.
Si kila single Maza ana sex na mzazi mwenzake ,nakataa ingawa kuna wavulana watabisha Kwa hofu ambazo wanaishi nazo kila siku,lakini hao hao wanaishi na wanawake ambao hawakuwa single Maza lakin wamezaa na wanaume wengine na wao hawajui,inafikirisha Sana ujue!
Si kila wanachongea watu humu ni sahihi hata kama wako wengi kiasi gani,Bali wengi wao wamejawa na hofu Sana juu ya single Maza, ushauri wangu ukitaka kuoa single Maza uwe umepuvuka kimtazamo na kiakili,lkn kinyume na hapo utaishi na mashaka siku zote.
Ishu yako sijaona tatizo kwasababu mkeo alianza kumtafuta Baba mtoto kwasababu baada ya kuona matunzo Kwa mwanae hakuna,naamini kama ungesimamia hiyo show yasingetokea yote hayo.
Swali kwako dalili moja ya kuonyesha haikuwa tayar kuishi na single Maza ni kukataa mtoto wake asije ishi na wewe?
Kwanini huyo mtoto msikae nae,je unadhani mkeo anafurahi kukaa mbali na mwanae? Kama umeamua kumuoa single Maza basi ungekuwa tayar kuwa Baba WA huyo mtoto.
Namalizia Kwa kusema inahitaji akili kubwa kuishi na single Maza ikiwemo na kumpenda mwanae pia na kuchukua majukumu yote ya mtoto.
Kila la kheri
Huyo angalau anaweza kuwa wa mume mmoja kwakuwa hana mafungamano ya ki-damu ya watu aliotoa mimba zao.
Msijaribu kuhalalisha au kutafuta uzuri usiokuwepo wa single mama.
Single mama ana wakwe sehemu mbili. Mawifi sehemu mbili, mashemeji sehemu mbili nk.
Asante Sana wewe mwenye akili nyingiWewe unajua makubaliano yao kabla au unaropoka tu maelezo marefu yasiyo na maana.
Aliyemzalisha akamwacha hakuwa mjinga.
Kama na wewe ni SINGO MAZA pole sana.
DuuhHiyo namba 2,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye amegoma kutunza mtoto asiye wake tu hajamsusia aliowazaa naye.Wewe ndio mwenye matatizo, muache huyo mama endelea na maisha Yako.
Kama huwezi kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni heri umuache! Ulijua ana mtoto tangu mwanzo, uchumi umebadilika unasema huwezi kumlea mtoto wake. Je ingekuwa ni wanao wote wawili na uchumi umebadilika ungefanyaje?
Huwezi kujisimamia kimaamuzi, umelazimisha mwenyewe waanze kuwasiliana.
Mwisho mwanamke mwenye mtoto hata umpe Kila kitu ila mtoto wake hapati huduma, hawezi kuridhika kuona yeye anaishi vizuri mtoto wake haishi vizuri au hajui kesho ya mwanae. Labda kama mwanamke asiyejitambua.
So wanaume kama hamuwezi kuwatunza wanawake wenye watoto ni heri muwaache tu, msiwaongeze mizigo ya watoto wengine Kisha muanze kuwageuka.
Mkuu wengi huwa wanatongoza wakijua watakula mzigo alafu wanapita hivi au inakuwa kama sehemu ya kipozeo tu, kumbe wanawekewa mitego na masingle maza penzi likikolea wanabeba na mimba juu hapo ndo kimbembe kinaanza mambo yakiwa magumu wanakuja kuanzisha uzi hapa jf!! 😁😁😂😂Kama uliona huwezi kumhufumia yeye na mwanae ni bora usingemtongoza.
Wewe ndio unayajua makubaliano yao?!Wewe unajua makubaliano yao kabla au unaropoka tu maelezo marefu yasiyo na maana.
Aliyemzalisha akamwacha hakuwa mjinga.
Kama na wewe ni SINGO MAZA pole sana.
Recycling - - Kuna vitu viwiliTulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.
Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.
Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,
Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.
Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;
Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".
Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.
Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
kosa ni lakoTulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.