Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

USHAUR wa busara Sana huu[emoji106]
 
Mkuu,
Kubali ukatae,
Japo Hali Ni ngumu,
Ila Hapa kwenye kuwabagua watoto ulifeli sana, ulipaswa ukaze kiume.
 
Kama sio single mama ila alishatoa mimba tatu za wanaume watatu tofauti,au hajawahi kushika mimba ila keshatembea na wanaume zaidi ya kumi je huyo ni mke wa mume mmoja au wengi?
Huyo angalau anaweza kuwa wa mume mmoja kwakuwa hana mafungamano ya ki-damu ya watu aliotoa mimba zao.
Msijaribu kuhalalisha au kutafuta uzuri usiokuwepo wa single mama.
Single mama ana wakwe sehemu mbili. Mawifi sehemu mbili, mashemeji sehemu mbili nk.
 
Wewe unajua makubaliano yao kabla au unaropoka tu maelezo marefu yasiyo na maana.

Aliyemzalisha akamwacha hakuwa mjinga.
Kama na wewe ni SINGO MAZA pole sana.
 

Kuna wengine wameshindikana. Wana wakwe, mashemeji, mawifi watano watano na kuendelea.
 
Wewe unajua makubaliano yao kabla au unaropoka tu maelezo marefu yasiyo na maana.

Aliyemzalisha akamwacha hakuwa mjinga.
Kama na wewe ni SINGO MAZA pole sana.
Asante Sana wewe mwenye akili nyingi
 
Unaona single maza????una akili timamu mkuu dah...
 
Yeye amegoma kutunza mtoto asiye wake tu hajamsusia aliowazaa naye.
 
Kama uliona huwezi kumhufumia yeye na mwanae ni bora usingemtongoza.
Mkuu wengi huwa wanatongoza wakijua watakula mzigo alafu wanapita hivi au inakuwa kama sehemu ya kipozeo tu, kumbe wanawekewa mitego na masingle maza penzi likikolea wanabeba na mimba juu hapo ndo kimbembe kinaanza mambo yakiwa magumu wanakuja kuanzisha uzi hapa jf!! πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Recycling - - Kuna vitu viwili
1. Jealous
2. Instinct

story yako inaonesha wewe una #1, of which ni mbaya. Siku ukiwa na #2 nitakushauri kimbia kabisa cz don't ignore your instincts. Huwa zina ukweli 100%.

Lkn, kile kipochi manyoya hakieleweki - - Ukute kinapondwapondwa na wengine hapo hapo mtaani kwenu na haujui. Achana na kufuatilia hayo mambo.

Hakikisha watoto wanakula vizuri, wanalala vzr, wanaenda shule vzr, hawana magonjwa ya ajabu kama kutokwa kamasi na kubanja, etc.

Hakikisha una demu wako huko nje cz huwezi kula wali nyama kuku kila siku, kuna ile siku unatamani ugali bamia. Muache na yeye afurahie maisha acha kumbana bana.
 
kosa ni lako
ilioa mke wa mtu
tulishatoa muongozo, kila mwanamke aolewe na aliyemzalisha kwanza
komaa na huyo mbwa wako hata akikataa usikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…