round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ?
KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hudhuria vikao mkuu, si lazima jambo likukute, awareness ni muhimuUshakutana na kitu kizito ama?
hudhuria vikao mkuu, si lazima jambo likukute, awareness ni muhimu
Kujua kwamba mke sio ndugu yako ni kwamba anaweza kuvumilia umasikini wa Baba yake na shida zote, ila hawezi kuvumilia umasikini wa mme wake eti aishi kwa tabu na shida ata sepa tu au atakutanganza kwa ndgu jama na marafiki.Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ?
KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
Mke au Mume ni zaidi ya Ndugu kiprotokali.
Ndio mtu pekee ambaye kwa hiyari yako unamchagua.
Hata hivyo kwenye ulimwengu wa kitapelitapeli usije ukajimix wakakuyash
Umetisha ndugu 👏👏Kujua kwamba mke sio ndugu yako ni kwamba anaweza kuvumilia umasikini wa Baba yake na shida zote, ila hawezi kuvumilia umasikini wa mme wake eti aishi kwa tabu na shida ata sepa tu au atakutanganza kwa ndgu jama na marafiki.