Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

Katika Jukwaa la CCM unatarajia ni zawadi gani ambayo waliohama Upinzani wanaweza wakawapatia wana CCM wafurahi?
CCM hawana jukwaa la kukosolea serikali, hawana jukwaa la kukemea rushwa, hivyo watokao upinzani hujikuta hawana cha kufanya na ndipo huamua kutengeneza jukwaa la kuongelea walipotoka
 
Waache CDM wenyewe walalamike.Wewe mkojo ni wa chooni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…