Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

Kila mwanachama wa Chama cha siasa ana kazi ya kufanya kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho.

Utekelezaji wa majukumu ya Chama Hata kama umehamia hivi punde yapo palepale kwa mwanachama. Sasa kwa utaratibu w Chama katika kutekeleza majukumu, mwanachama unaweza kupewa wajibu wa aina yoyote!! Na kama ni mtiifu wa Chama utayatekeleza mara moja wajibu huo.

Kwa msingi huu, sikubaliani na katazo lako mleta mada dhidi ya wale wanaohama vyama kutokutekeleza wajibu wao katika vyama vyao vipya. Badala yake jicho lielekezwe kule ambapo wanachama hawa wamehama Kuna Changamoto gani kiasi cha kupoteza wanachama.

Nakaribisha ukosoaji wa hoja yangu.
 
Mchungaji Msigwa amekosa Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa Ndio kaenda CCM kutafuta Vyeo

Ni Mtu mjinga tu asiyeona hili
 
Hao ndo Wanasiasa Malaya (harlots) ambao Mzee Nyerere alisha wasema muda mrefu sana.pia hiyo ni ishara ya kuishiwa hoja na kufilisika kisiasa.Bure kabisa
 
Tuwe wakweli bwashee; Anachofanya Msigwa ni UPUMBAVU mkubwa.

Lakini Hilo haliondoi Ukweli kwamba Watanzania wamemchoka Mbowe!

Imani Kwa wapenda mageuzi iliisha pale Mbowe alipoanza kujipendekeza ikulu na kuwa Sehemu ya Machawa.

Huu Ukweli mchungu lazima tuukubali, Mbowe awajibike tu na apumzike
Tangu lini Mbowe amekuwa kiongozi wa taifa? Kama wanachama wa chama chake bado wanamkubali basi sisi wengine hata tuseme nini ataendelea kuwa Mwenyekiti wao. Njia pekee ni nyie ambao mumemchoka ni kujiunga na chama chake na kuwashawishi wanachama wenzenu wamkatae.

Humu ndani watu kibao wanasema wameichoka CCM lakini inaendelea kudunda tu. Njia pekee waliyokuwa nayo ni kukiondoa madarakani. Wakikitoa madarakani ndio itakuwa mwisho wake tofauti na vile vyama ambavyo havijawahi kushika dola.

Amandla...
 
Wanabodi,

As days go by, nimeona baadhi ya wanasiasa hama hama walio defect kutoka Chadema hivi karibuni, na kujiunga CCM, kila wakisimamishwa na kutambulishwa kwenye mikutano ya hadhara, wao ni kuisema tuu Chadema, Chadema Chadema in a negative way!.

Paskali.
Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo

Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X

Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD

Ulale Unono 😀🌹
naunga mkono hoja, watu hawa tuliwashauri humu
p
 
Back
Top Bottom