Mke wa Alikiba adai talaka

Hiyo ndio shida kuwa na superstars .....maisha yao ya usiku milele ...
 
Yeye angeplay part yake km mke, mengine angemuachia mwenyewe Kiba….. Yule super star alafu bado ana miwasho!! Angekituliza tu!

Alijua Kiba km wanaume wa Mombasa [emoji23][emoji23]
Naye Kiba akome, watu wakiambiwa waoe wanaofanana nao utamaduni wanaleta ujuaji....wanawake wa Pwani hawajui kutulia kwa mume, kutwa kiguu na njia kwao, Yani mke kwenda kukaa kwao miezi mitatu bila sababu ni kawaida🤣🤣🤣 na ukipeleka kesi kwao wanakushangaa🤣

Sasa Amina kashaona mume zipu mbovu, halafu yeye kutwa yupo Mombasa....anataka mwenzake ajiunge Chama la dronedrake au?

Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo sisi wanaume haturidhikagi na mbususu moja.

Nikupe mfano mimi sina mke, nina wiki 3 kuna kamanzi kamekuwa kananipa sana utelezi lakini nishaanza kukachoka yaani mzuka niliokua nao mwanzoni na sasa tofauti

Wanaune hatujawahi kuridhika na mbususu moja sio kwamba hatuwapendi ni tamaa tu
 
Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo chacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo la Kiba kuwa na mbususu huko ni suala tarajiwa, as Amina alimkuta ana baby mama wa kumwaga....hakutakiwa kuwa na wivu, alitakiwa amcontrol apunguze.

Wewe kwa sababu huna mke, Ila ukiwa nae utapunguza huko nje.....asubuhi unapewa, ukirudi unapewa.

Sasa mwenzio mke anamdai talaka huku Yuko Mombasa, huku mume anaishije?
 
Kiba nae alibugi sana kumuoa yule dada. Yule angepiga mimba tu maisha yanaendelea. Angalia sasa, inabidi atafute jopo la mawakili wenye uwezo mkubwa kabla ajapigwa pesa ndefu. Mi nasemaga kila siku humu, mademu wa kikenya wote ni magold digger tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…