Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kumbe mwatuita Zubedakama Zubeda mke wa Prof J au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mwatuita Zubedakama Zubeda mke wa Prof J au ?
Naye Kiba akome, watu wakiambiwa waoe wanaofanana nao utamaduni wanaleta ujuaji....wanawake wa Pwani hawajui kutulia kwa mume, kutwa kiguu na njia kwao, Yani mke kwenda kukaa kwao miezi mitatu bila sababu ni kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ukipeleka kesi kwao wanakushangaa[emoji1787]
Sasa Amina kashaona mume zipu mbovu, halafu yeye kutwa yupo Mombasa....anataka mwenzake ajiunge Chama la dronedrake au?
Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiwe na kiherehere cha kuingilia ndoa za watu, usije ukashangaa Bi Amina anapost mtoto wa 3, hawatabiriki wale.