Mke wa Alikiba adai talaka

Mke wa Alikiba adai talaka

Naye Kiba akome, watu wakiambiwa waoe wanaofanana nao utamaduni wanaleta ujuaji....wanawake wa Pwani hawajui kutulia kwa mume, kutwa kiguu na njia kwao, Yani mke kwenda kukaa kwao miezi mitatu bila sababu ni kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ukipeleka kesi kwao wanakushangaa[emoji1787]

Sasa Amina kashaona mume zipu mbovu, halafu yeye kutwa yupo Mombasa....anataka mwenzake ajiunge Chama la dronedrake au?

Dawa ya mume wa hivo unakaba hadi kivuli, unampa Hadi unampa tena, Yani akienda huko nje akakojoe upepo tu, sheeendhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utakuja kua mke bora kama hutobadilika mawazo
 
Mimi ninavojua Talaka hata yeye Huyo Dada anaweza fungua shauri mahakamani, Kiba ataitwa shauri lisikilizwe, asipotokea mahakamani Mara tatu kesi inaamuliwa upande mmoja, huyo Dada anapewa talaka .
 
Back
Top Bottom