Mke wa Alikiba adai talaka

Mke wa Alikiba adai talaka

Kabla ya "kusinya" hizo karatasi ahakikishe Mali zote ameziandika kwa jina la mama yake, hawa mademu siku hizi wako kimkakati Sana inabidi kuwa wahi mapema kabla hawaja kubananisha🚶🚶🚶🚶
 
Mi sitaki kuoa maisha haya. Nilivyoanza maisha nilipata tabu sana tena peke yangu. Leo aje mtu aniambie tugawane mali zangu. Qouma mbuzi hiyo haiwezekani.
 
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natamani wanirudishie muda wangu kenge Hawa
Wanaachana vipi Kwa mfanooo
Watu tulikesha kufuatilia harusi, Kwa kweli wavumiliane tu....Ila Kaka akitoa talaka kaisha🤣 Wakenya wajanja wajanja
 
Duuh kwahiyo kumbe kuwapa waume zenu kila siku mnaweza, sasa haya malalamiko yao ya kwamba wananyimwa sana kwa visingizio vya kuchoka yanatoka wapi, au ndio makusudi tu
Tatizo Lao tukiwapa hawasimulii, tukiwanyima kidogo ndo kesi Hadi polisi🤣🤣🤣
 
Ayo ni maisha binafsi ayakuhusu jifunze
Alikiba sio Kama Yule binamu yako wa kule Ngudu, huyu ni superstar, maisha yake yanatuhusu, Yani tunahusika....na wambea tunayafuatilia kuliko maisha yetu binafsi🤣🤣🤣
 
Marriage is a scam, And I'm a married man who is speaking this. Vijana msioe
 
Back
Top Bottom