Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Oh sikuwa namfahamu baada kuona video ile nilitamani nimuone mkewe

Wanaume sisi wake zetu kama tumesusiwa ila michepuko sasa acha kabisa kama hanyi au hali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani anawachaguliaga nani
 
Ni wivu tu Baba askofu ni rijali
1)Baba Askofu ni Msukuma,wanawake nje ya ndoa kawauda Sana.

2)wanaomlaumu style mmoja wajue kuwa yeye mwenyewe ndiye alikuwa Lukamba,apewe muda,no one is perfect,taking video and KUTWANGA KWALUMA KUDYA KUNA MWILE.(KUTWANGA kwauma ila kulazimishwa kutamu)
 
Unaemshauri Grace aondoke, unajuaje kuwa ndoa yake ndiyo inayotunza familia yake huko kwao?
Wewe umeshakiri kwamba unacheat na wala sijakuuliza kama unacheat au haucheat. Ninachojua wanaume ambao hawacheat kwa sababu yoyote ile wapo, hata kama wako wawili Africa nzima suala ni wapo
 
Wewe grow up bana, kila mtu anakosea kuvumiliana ndo jambo la msingi, bila uvumilivu utaacha wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…