Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Oh sikuwa namfahamu baada kuona video ile nilitamani nimuone mkewe

Wanaume sisi wake zetu kama tumesusiwa ila michepuko sasa acha kabisa kama hanyi au hali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani anawachaguliaga nani
 
Ni wivu tu Baba askofu ni rijali
1)Baba Askofu ni Msukuma,wanawake nje ya ndoa kawauda Sana.

2)wanaomlaumu style mmoja wajue kuwa yeye mwenyewe ndiye alikuwa Lukamba,apewe muda,no one is perfect,taking video and KUTWANGA KWALUMA KUDYA KUNA MWILE.(KUTWANGA kwauma ila kulazimishwa kutamu)
 
Unaemshauri Grace aondoke, unajuaje kuwa ndoa yake ndiyo inayotunza familia yake huko kwao?
Wewe umeshakiri kwamba unacheat na wala sijakuuliza kama unacheat au haucheat. Ninachojua wanaume ambao hawacheat kwa sababu yoyote ile wapo, hata kama wako wawili Africa nzima suala ni wapo
 
The only "suluhu " ni grace ku prove kwamb she's strong.. Anawez kuachana Na gwajima and still akalea watoto wake vzr...
Wanawake wa kiafrika hapo ndo wanapo fail
Wanakosewa heshima hadharani, wanaletewa magonjwa ndani ya nyumba only tu kwakuw kaolewa bus anatikiwa avumilie kwajili ya watoto na Mali..
Wanaacha kuji value Kwanz "put your self as a priority "
Wewe grow up bana, kila mtu anakosea kuvumiliana ndo jambo la msingi, bila uvumilivu utaacha wangapi?
 
Back
Top Bottom