Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Ni jambo la kipumbavu sana kwa mtu kuombea ndoa ya mtu mwingine ivunjike, huna akili ww mtu. Unajua kuwa ndoa ni mpango wa Mungu? Unajua kuwa kuna familia hapo? How come wewe ujitokeze kutaka ndoa ya mtu ivunjike, au unataka uolewe wewe? Shame kabisa
 
kwa jinsi nnavyoona threads nyingi zinavyoanzishwa humu za kumkashifu Gwajima...nadiriki kuamini hii ni mission imepangwa makusudi kufuta swala la MDUDE.....na ile video ni fake...
 
Nilichogundua kwenye ile video, sijamsikia yule dada akimwambia mchungaji asipigie bao ndani, lakini ingekuwa akina sisi ndio angetusukuma mpaka tuanguke kutoka kitandani
Hahaa
 
Pesa pesa pesa ndugu .... anatamani kuondoka but anafikiria mali na bata analo kula ataviacha vipi vyote hivyo
 
Nenda kaolewe basi au kama huna vigezo mwambie Mamako akaolewe nae
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka mpaka nimepaliwa[emoji16][emoji16]

Wanaume mna tabu sana, that's y mnavuta mapema mnatuacha tunakula batazz
 
Hii kauli kwa maskini tu , mbona Florah na Emanuel Mbasha wao waliunganisha na Gwajima akatenganisha, halafu akamuunganisha Flora pengine?
Hivi kumbe frola yule daudi wake kapasiwa na gwajiboy?
 
Ila sometimes sisi wanawake maboya sana, nimewaza mfano ndo ingekuwa mke wake amepata scandal ya video km hiyo sidhani km gwajima angesimama kumtetea. Mapenzi mengine ya kifala sana..binafsi nisingeenda kujichoresha mbele ya waandishi wa habari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka mpaka nimepaliwa[emoji16][emoji16]

Wanaume mna tabu sana, that's y mnavuta mapema mnatuacha tunakula batazz
Hahahahah kwahio unanicheka eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…